mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 439
- 729
Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika mara bomba la maji litatoa upepo, shule michango nk.
Huku kauli zao zikipandisha zaidi hasira na presha ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Kwani haiwezekani kuishi bila kuwasikiliza au kuwafuatilia?
Nisisikilize taarifa ya habari yoyote, hakuna kusoma gazeti, nikitoka kibaruani nyumbani, nikiwasha redio au Tv ni zile za dini tu. Je haiwezekani au nifanyeje?😤😤🤔
Msaada wenu wana JF