Maimatha Jesse afunga ndoa ya siri

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Celebrity wetu Maimatha wa Jese amefunga pingu za maisha hivi karibuni kwa siri...na haikuhusisha masupastaa wa kibongo kama ilivyotarajiwa.....
 
Cha muhimu ni kuwa na maisha ya amani na fanaka katika ndoa yao .Kila la kheri MAI
 
nami namtakia pia ndoa njema yenye amani na upendo...naamini usiri huo mtautumia pia kuficha siri zenu za vyumbani na mmeo..umekomaa vya kutosha jiepushe na magazeti hayana maana!!..........

bado kaka Ben
 
Baada ya kukosa michango ya kuaminika. Alipania kupiku harusi ya Uwoya.

Pumba tupu!
 
si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?
 
Kunamtu namfahamu kafiwa na mkewe siku mbili baada ya mazishi keshaleta kifaa kingine ndani ya nyumba...tulishangaa lakini sasa tushaozoea. Kuna watu wana moyo sana.
 
Duh! Hivi wanaume hawakai eda? Ina maana jamaa hakungoja hata matanga? Mweh!

uamuzi wa busara...hakutaka iwe ya kifahari na mbwembwe.halafu baada ya siku chache tifu linaanza ndani ya ndoa. alijifunza kutoka kwa waliomtangulia kwenye ndoa...wapo wengi hakuna sababu ya kuwataja.
 
Liwezekanalo fanya hata vindoa uchwara havidumu tuache imani duni
 
Duh! Hivi wanaume hawakai eda? Ina maana jamaa hakungoja hata matanga? Mweh!

Unashangaa nini????wakati kuna mheshimiwa waziri mstaafu alifunga ndoa wakati mwili wa marehemu mkewe upo mochwari ukingoja watoto wake waje kutoka ulaya.....tena alifunga ndoa st joseph city center .
 
Safi sana! Si tunafahamu kuwa siku hizi ndoa ziko temporary sana? Nadhani hiyo ni strategy nzuri, just in case kukitokea divorce hatopata shida sana kwa kuwa watu wengi hawafahamu kuwa amefunga ndoa hivi karibuni!
 
nami namtakia pia ndoa njema yenye amani na upendo...naamini usiri huo mtautumia pia kuficha siri zenu za vyumbani na mmeo..umekomaa vya kutosha jiepushe na magazeti hayana maana!!..........

bado kaka Ben
Ben nae ni Kaka ? Sina hakika kama anahusika na sie makaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom