Maimartha wa Jesse na bwana yake watapeli mamilion ya pesa

Ndugu zangu, huyu kakosea nini hata ashambuliwe hivyo. Kama kosa lilikuwa ku-post thread yake pasipo basi angeelimishwa tu. Sijaona sababu ya kushambuliwa hivi. Maimaratha na PD wake ni watu kama tulivyo sisi, sasa kama wametapeli wasisemwe. labda huyo mlalamikaji hajui pa kwenda baada ya kutumia hata polisi na ikashindikana! Amekimbilia huku labda ama apate upanuzi wa mawazo anaishiwa kutupiwa maneno. JF inatakiwa iwe kimbilio la wote na sio kwa watu maalumu tu. Hata JK anachambuliwa hapa sembuse Maimaratha! Tusaidiane kuelimishana wana-JF. Mchango wangu na wako na wa mwingine unahitajika. Tusianze ujuaji wa kukemeana, SIO wote wanajua kupost huku maana nao wamejifunza humu humu tu, haipendezi. Hata kama mtu ana mwezi mmoja huku hata siku, tujmsaidie, bado ni sehemu ya familia na si vinginevyo.

UPENDO, UMOJA NA AMANI VITAWALE MIYOYO YETU.
 
Katika bongo yetu Maimatha ni mtu maarufu na 'Mrembo' hajakosea kuiweka hapa. Hajamtukana Maimatha wala P-daddy na hii tuhuma nimeisikia pia pamoja na tuhuma ingine kuwa Maimatha anajihusisha na kuunganisha wakinadada na wakaka{ukuhadi}. Kama anawaunganisha kwa malipo hii itakua mbaya lakini kama anafanya ili watu wajuane si mbaya.
 
Jamani naomba muamini kuwa hii tuhuma ni ya ukweli 100% maana huyo shangazi yake Pdd aliwalalamikia washikaji wake Pdd. na huyo shangazi ni mtu amestaarabika sana na aliamua kuendesha haya mambo ndani ya familia iliposhindikana ndio akaomba msaada wa polis, kama kuna mtu anaweza kufuatilia aende Oysterbay Police amuulizie afande anaitwa Mudy ndio aliyeusika na kumuweka ndani kwa mda huyo Pdd.

ili swala nafikiri ni la faida kwetu sote, just incase you happen to know somebody ambaye ana mpango wa kufanya madeal ya pesa na huyo Pdd na Maimartha.

asanteni
 
Utamu ipo hewani peleka kule.....dada your very low....udaku udaku period!, source ya habari hii ni utata mtupu...sasa kama kachukua hela za shangazi yake JF ifanye nini? Tujadili ama?

Safi Ushi mwambie huyo. Nashangaa kuna member hapo juu anamtetea!!!! Ati kwa vile member mpya. Hata akiwa mpy alete issues muhimu si udaku.
 
Ndugu zangu, huyu kakosea nini hata ashambuliwe hivyo. Kama kosa lilikuwa ku-post thread yake pasipo basi angeelimishwa tu. Sijaona sababu ya kushambuliwa hivi. Maimaratha na PD wake ni watu kama tulivyo sisi, sasa kama wametapeli wasisemwe. labda huyo mlalamikaji hajui pa kwenda baada ya kutumia hata polisi na ikashindikana! Amekimbilia huku labda ama apate upanuzi wa mawazo anaishiwa kutupiwa maneno. JF inatakiwa iwe kimbilio la wote na sio kwa watu maalumu tu. Hata JK anachambuliwa hapa sembuse Maimaratha! Tusaidiane kuelimishana wana-JF. Mchango wangu na wako na wa mwingine unahitajika. Tusianze ujuaji wa kukemeana, SIO wote wanajua kupost huku maana nao wamejifunza humu humu tu, haipendezi. Hata kama mtu ana mwezi mmoja huku hata siku, tujmsaidie, bado ni sehemu ya familia na si vinginevyo.

UPENDO, UMOJA NA AMANI VITAWALE MIYOYO YETU.

Eka Mangi sikiliza. Aliyepost ni mrembo na si aliyetapeliwa na Maimartha. anadai mumewe Maimartha kamtapeli shangaziye Mai. Angekuja Maimartha hapa kulalamika au yule shangazi aliyetaeliwa it is ok. Naona huyu mrembo ana chuki binafsi na Maimartha.
 
Jamani naomba muamini kuwa hii tuhuma ni ya ukweli 100% maana huyo shangazi yake Pdd aliwalalamikia washikaji wake Pdd. na huyo shangazi ni mtu amestaarabika sana na aliamua kuendesha haya mambo ndani ya familia iliposhindikana ndio akaomba msaada wa polis, kama kuna mtu anaweza kufuatilia aende Oysterbay Police amuulizie afande anaitwa Mudy ndio aliyeusika na kumuweka ndani kwa mda huyo Pdd.

ili swala nafikiri ni la faida kwetu sote, just incase you happen to know somebody ambaye ana mpango wa kufanya madeal ya pesa na huyo Pdd na Maimartha.

asanteni

Hapo kidogo umeeleweka. Katika thread yako ulitakiwa kuwapa mwanga wasomaji kidogo, ili watu wapata kama tahadhari asikopwe na Mai au mumewe huyo.
 
Tupo ukurasa mmoja Mazee, dada aonyeshe ustaarabu kwa kuapologize basi tuendelee na mijadala mingine endelevu....tusipokuwa makini JF itakuwa kijiwe cha udaku...hawa akina Mrembo et al...

Nami niko ukurasa huo huo wakuu. Ni lazima heshima ya hii forum itunzwe. Mimi niliamua kujiunga hapa kwa sababu nilijua ni mahali pa heshima na hakuna umbea bali ni fact tu za kuielimisha jamii. Mimi ni mtu mzima sijui umbea na siutaki that is why napinga kufa masuala ya umbea. Hata kama ni umbea basi uwe na fact na uwe unagusa a large section of the society. Hatuwezi kupoteza muda hapa Jf kuchangia habari za kipuuzi za celebrities. Ndo maana hapo awali nilisisitiza habari kama hizi zina blog ambazo huzipenda na apeleke huko. Hayo ni mawazo yangu.
 
Mnamuonea dada wa watu.Hili ni jukwaa la celebrities,sasa ma celebrity wetu wenyewe ndio hao...kama wametapeli si tungependa kujua?Angekuwa ka post kwenye jukwaa la Siasa,kweli hata mimi ninge support hao wanaokashifu.Sasa kwenye Jukwaa la Celebrities tupost nini? Address zao tu hao ma celebrity au? Ni bora basi iwekwe wazi kuwa kuna mipaka katika kupost habari za celebrities.

Mrembo,huna haja ya ku apologise kwa lolote lile,kama mtu hataki kusoma,kuna majukwaa kibao ya kusoma....hebu tuletee hio habari,ehe?
 
Jamani naomba muamini kuwa hii tuhuma ni ya ukweli 100% maana huyo shangazi yake Pdd aliwalalamikia washikaji wake Pdd. na huyo shangazi ni mtu amestaarabika sana na aliamua kuendesha haya mambo ndani ya familia iliposhindikana ndio akaomba msaada wa polis, kama kuna mtu anaweza kufuatilia aende Oysterbay Police amuulizie afande anaitwa Mudy ndio aliyeusika na kumuweka ndani kwa mda huyo Pdd.

ili swala nafikiri ni la faida kwetu sote, just incase you happen to know somebody ambaye ana mpango wa kufanya madeal ya pesa na huyo Pdd na Maimartha.

asanteni

Mrembo sidhani kama kuna wa kwenda Oysterbay,labda wanaotaka kuuza magazeti.
Taarifa yako ni muhimu hata kama ni ya uongo,kwa kuwa katika hiyo ya uongo ndipo tutaanzia kuutafuta ukweli wa jambo.
 
Jamani naomba muamini kuwa hii tuhuma ni ya ukweli 100% maana huyo shangazi yake Pdd aliwalalamikia washikaji wake Pdd. na huyo shangazi ni mtu amestaarabika sana na aliamua kuendesha haya mambo ndani ya familia iliposhindikana ndio akaomba msaada wa polis, kama kuna mtu anaweza kufuatilia aende Oysterbay Police amuulizie afande anaitwa Mudy ndio aliyeusika na kumuweka ndani kwa mda huyo Pdd.

ili swala nafikiri ni la faida kwetu sote, just incase you happen to know somebody ambaye ana mpango wa kufanya madeal ya pesa na huyo Pdd na Maimartha.

asanteni
Usitie shaka mrembo,

Kama ukipata proof lete lakini kwa sasa iache yenyewe!
 
Mrembo huna issues za maana za kuleta jamvini? siku nyingine njoo na issues za maana!

mkuu kinyaman unaonekana mnyama si mchezo
 
natania mkuu nimkufa na jina lako

Mrembo usiwe na wasiwasi naifanyia uchunguzi then tutairudisha na kuiweka sehemu inapotakiwa halafu tutawapigia simu watueleze ukweli, huyu Mai kesho kutwa anaweza kuwa Mwenyekiti wa UV............. kama kweli anakaushirikiano na mheshimiwa ufisadi katika idara yake ya dhuluma inabidi achambuliwe mapema, AU WADAU MMESAHAU CHAMA CHETU TAWALA KINAPENDA SANA CELEBRATIES KUONGOZA WANOANCHI????????????????
 
Hapo sasa ndo patamu,, tujuze yalojiri huko O'bey polisi mkuu. Tunaweza tukamkwaa fisadi mwingine kwenye huu uchaguzi.
 
Mrembo ulianza hivi....

Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.

Habari ndio hiyo

Baada ya wadau kukubana vilivyo ukaja na hii.....

Jamani naomba muamini kuwa hii tuhuma ni ya ukweli 100% maana huyo shangazi yake Pdd aliwalalamikia washikaji wake Pdd. na huyo shangazi ni mtu amestaarabika sana na aliamua kuendesha haya mambo ndani ya familia iliposhindikana ndio akaomba msaada wa polis, kama kuna mtu anaweza kufuatilia aende Oysterbay Police amuulizie afande anaitwa Mudy ndio aliyeusika na kumuweka ndani kwa mda huyo Pdd.

ili swala nafikiri ni la faida kwetu sote, just incase you happen to know somebody ambaye ana mpango wa kufanya madeal ya pesa na huyo Pdd na Maimartha.

asanteni

Inaonekana unamahusiano ya karibu sana na watu hawa, na kama hivyo ndivyo ungeweza kuwaweka chini nakuwapa ushauri, lakini hapa mimi naona kama kuna ksoro fulani fulani kati yako na watu hawa na hasa Huyo Maimartha, Mimi binafsi sioni kosa la Maimartha kwa kuwa aliyekopa hela hizo si Maimartha, au kuonyesha kiburi umekuwa utapeli?..Kichwa cha habari chenyewe kimekaa kizushi, hakiendani na habari yako.
 
Mrembo,
Kelele za Chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji. Wasikutishe hawa. Kama hujatukana mtu hapa basi ni poa tu. Watu wanaweka thread za ajabu sana hapa na hakuna anayepiga kelele. Mfano mtu kaweka eti Master P anaanzisha TV yake USA, so what?? Kwa sababu haikugusa Watz, ilikufa kimya kimya. Ila hii naona watu wameishabikia kweli kweli na huu ni ushahidi tosha kuwa hawa jamaa ni watu maarufu. Kama ni watu maarufu basi hii ni POA kabisa. Umaarufu una gharama zake eti. Ukipata na nyingine wee lete tu. Sana sana ziweke kwenye UDAKU au hata hapa Celebrities. Mtu ukishaingia tu hapa basi ujuwe umekubali kuanza kusoma UDAKU. Utaanza kusoma pumba kama Ohh, jamaa anavaa D&C feki, ohh gari lake la kuazima, ohhh Mzungu wake masikini nk nk. Hapa kama sehemu ya udaku au jokes, ni sehemu ya kuja kupunguza stress. Hakuna issue za maana hapa. Ukitaka za maana basi nenda kwenda siasa, elimu nk. Mrembo weeee, mie masikio yanawasha, lete nyingine :)
 
Your in the very wrong place mate...if that whats ur thinking
 
Samahani mbona Ushi umemshikia bango hivyo mrembo? I thought ungesema na kumaliza but mmefika mpaka huku......... taratibu man
 
Back
Top Bottom