mchumi boy
Member
- Jun 4, 2016
- 70
- 31
Hvi kwa nini vijana wengi waliochumbiana siku hzi wanaanza kufanya mapenzi kabla ya ndoa?
Maana siku izi fake zimezidi!!!Bidhaa kabla hujalipia lazima uchunguze kama ni nzuri na inaubora unaotakiwa.
mhmhmhmh kuuziwa mbuzi kwenye gunia nani anataka sikuhiz
tuonjane ili tujue utamu ukoje
mkonyo= mkonoNaunga mkonyo hoja!
mambo ya nani vileeee??????? shetani????? mh ushamsingizia tayariMi hata sijui...........ufanyaji wa hayo mambo......(ya shetani).......umezidi sana.........
sasa utajuaje kma mwanaume ni feki na ukijua ni feki utaniacha au utanivumiliaMaana siku izi fake zimezidi!!!
mkonyo= mkono
Nani alikwambia mwanaume haachwi?? Nakuacha asubui sana kwanini nivumilie? Kwani nisipoishi na iyo fake ntapungukiwa ninisasa utajuaje kma mwanaume ni feki na ukijua ni feki utaniacha au utanivumilia
RubiiiiiKila mtu na maisha yake mkuu! wewe fuata yako tu ya wengine yatakuchelewesha
Kwa mfano mm mwanaume labda nimekuchumbia halafu nikakupa masharti kuwa usubiri mpaka tufunge ndoa kwanza utaniachamhmhmhmh kuuziwa mbuzi kwenye gunia nani anataka sikuhiz
tuonjane ili tujue utamu ukoje
Nimekuelewa safiiiKila mtu na maisha yake mkuu! wewe fuata yako tu ya wengine yatakuchelewesha