Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,333
Thanx kwa kunielewa,,waisrael kama wangekuwepoi tanzania,basi tunekuwa na migodi mingi,viwanda vya kuprocess madini hukuhuku na kuleta ajira na kodi kubwa tofauti na wazungu ama waingereza ambao wanakuchukulia resources zako kwa manufaa ya nchi zao
If so_nimekupata mkuu,..