Mahusiano kati ya Tanzania/China - Mh. Mizengo Pinda aelezea

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda anaelezea yaliyojiri kutokana na ziara ya Naibu Waziri Mkuu wa China hivi majuzi.

Naibu Waziri Mkuu wa China amekumbushia uhusiano maalum kati ya Tanzania na China. Ziara hiyo imefanikisha kutiliana saini ya mikataba mbalimbali kama:
  • ujenzi wa bomba la gesi ndani ya mwaka mmoja toka Mtwara kwenda Dar-es-Salaam kugharimu US$ 2.5 BN
  • Gesi kuzalisha umeme, matumizi ya nyumbani kupunguza ukataji miti kwa mkaa na pia kama nishati kwa ajili ya magari
  • nishati ya gesi kwa ajili ya kiwanda cha mbolea cha mwekezaji toka Nigeria mkoani Mtwara
  • ujenzi wa Mwl. Julius Nyerere centre na jengo la wizara ya mambo ya nje
Video kwa hisani ya foreigntz ya youtube

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom