Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

Concern yangu sio lugha bali content. Wametuaibisha kama Taifa. Shadow Foreign Minister ameonyesha kuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya region na mechanisms zilizopo ndani ya EAC kama EACJ etc Pili, kuongelea negatively heads of State wa nchi nyingine wakati hawakuwa subject ya mjadala kunaonyesha uchovu wa kidiplomasia wa Waziri kivuli wa Mambo ya Nje. Lakini kubwa ya yote na haya ni mawazo yangu tu- kuisemea nchi yako negatively kwenye Foreign Media tena ya nchi shindani na ya kwako ni kukosa uzalendo. I can imagine wanayosema kwenye vikao vya ndani na rafiki zao wa nje.
Kabisa Mkuu
Mtangazaji ana maswali ya kawaida tu na naona hakufanya utafiti kuhusu tukio na crew yake nzima. Hivi uhuru tumepata 1962?
 
Kwani na wewe Kimombo hakipandi mkuu,pole.Hiyo ni shida ya WaTz wengi,uchakachuaji wa mitaala na
Kayumba vimeharibu sana mambo.
Aisee kila ninapotaka kuongea maneno yananikatikia kama luku, ivo nimeamua kukichukia na siongei kwenye hadharaa kwa gharama yyte.
 
Concern yangu sio lugha bali content. Wametuaibisha kama Taifa. Shadow Foreign Minister ameonyesha kuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya region na mechanisms zilizopo ndani ya EAC kama EACJ etc Pili, kuongelea negatively heads of State wa nchi nyingine wakati hawakuwa subject ya mjadala kunaonyesha uchovu wa kidiplomasia wa Waziri kivuli wa Mambo ya Nje. Lakini kubwa ya yote na haya ni mawazo yangu tu- kuisemea nchi yako negatively kwenye Foreign Media tena ya nchi shindani na ya kwako ni kukosa uzalendo. I can imagine wanayosema kwenye vikao vya ndani na rafiki zao wa nje.
Lakini mbona kama wameresond maswali vzr tu..... Hawawezi kwenda deeper due to muda mfupi na maswali waloulizwa na dada..... Hebu tuwe honest they did it nicely.....
 
Niliposema CCM itapata kura millioni kumi na saba kwenye uchaguzi ujao nilikuwa namaanisha. Na hii ilikuwa baada ya kufanya tafakuri tunduizi juu ya mienedo ya siasa za vyama vyetu hapa nchini
 
5b508c5fafb0ab7b08a99525a9f0a236.jpg
The best way then is that, Someone should use a language that he is comfortable with. So as to AVOID sideshows that can lead to an embarassment scenario.
All in all nothing was lost.
The message was delivered to whoever cared to listen.
 
Na wao kwann wasichague kuongea tu swahili, kutafuta kuumbuka kwa maksudi. Mi siongei English kwenye media ng'ooo.
Wewe hujui hata kusalimia unaponda nini sasa? Wenzio wameweza kwa viwango vya kimataifa. Natama i nione mkulu akibeba interview kama hii kama hajahamia kiswahili
 
Lakini mbona kama wameresond maswali vzr tu..... Hawawezi kwenda deeper due to muda mfupi na maswali waloulizwa na dada..... Hebu tuwe honest they did it nicely.....
mi naona muda ungeongezwa hata dk 10 mambo yangeharibika sana
 
ni jambo la kawaida kwa mzungumzaji was lugha flani kupenda kutumia baadhi ya maneno hata natives wa kiswahili sometimes unakuta kuna neno analitumia sana kitaalam inaitwa idiolect.... hata Donald trump kuna baadhi ya maneno anapenda sana kuyatumia ...in fact hao speakers ni advanced in speaking English
mkuu labda kama maana ya neno advanced imebadilika hivi karibuni
 
Mkuu Mkulu mwenyewe baba mwenyezi mbona naye dola kashika lakini kizungu chake ndiyo hicho tena na bora hawa mara mia? Acha chuki binafsi. Pamoja na mapungufu yao bado wana afadhali sana tu kuliko hao waliokalia viti sasa hivi.
mkuu kuna kitu uelewi hapa,hatuna tatizo na mtu kutokuelewa lugha fulani,tatizo ni kutokujua lugha fulani halafu bado unafanya interview kwa lugha hiyo,Lema Na Msigwa wanafahamu kiiengereza ,lkn kiiengereza chao hakijafikia hatua ya kufanya interview
 
Lema kazingua sana. At least Msigwa anaeleweka ingawa anatumia maeneo ya kawaida sana katika kingereza.

Utaona tofauti kubwa sana kati ya mtangazaji na hao ndugu zetu katika hiyo interview.

Kujifananisha sisi na wakenya ktk English Ni kujikosea wenyewe. Halafu msiitukuze Sana English Ni sawa tu na kisukuma au kihehe.
 
Back
Top Bottom