Hivi Tanzania ni mshindani wa Kenya katika lipi ?Concern yangu sio lugha bali content. Wametuaibisha kama Taifa. Shadow Foreign Minister ameonyesha kuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya region na mechanisms zilizopo ndani ya EAC kama EACJ etc Pili, kuongelea negatively heads of State wa nchi nyingine wakati hawakuwa subject ya mjadala kunaonyesha uchovu wa kidiplomasia wa Waziri kivuli wa Mambo ya Nje. Lakini kubwa ya yote na haya ni mawazo yangu tu- kuisemea nchi yako negatively kwenye Foreign Media tena ya nchi shindani na ya kwako ni kukosa uzalendo. I can imagine wanayosema kwenye vikao vya ndani na rafiki zao wa nje.
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.
Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.
Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.
Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.
HahahaYohana akifika Marekani itabidi awe bubu!!!Chezea American English wewe. JPM akutana na njemba ya ki-nigger inatema slang tokea puani unafikiri ataokota kitu....?? Thubutu yake.
Yaani wamejiabisha wao wenyewe, I hope wengi mmeliona hili japo nia yao ilikuwa kuiaibisha nchi na Rais, matokeo yake wamejiaibisha mnoooo. Yaani wakenya wanajiuliza hawa ndio viongozi wa juu wanaotaka kutawala Tanzania?!?!?! I wish ingekuwa Dr. Slaa. Kwa kweli kama mnawapenda viongozi wenu waambieni waishie hapohapo Kenya wasiendelee mbele sijui USA sijui BBC watajiaibisha na si kwa lugha bali kwa content. ooh my God! Hawa ndio Top management ya chama?!?! Are we serious?Hivi Tanzania ni mshindani wa Kenya katika lipi ?
DuuhSiyo siku tano, ni wiki tano.
Nadhani lengo la yule balozi ni mheshimiwa akajifunze lugha ya Waingereza.
Slaa alikuwa mtu mwingine yule jamaa,jamaa ana uelewa mkubwa sanaYaani wamejiabisha wao wenyewe, I hope wengi mmeliona hili japo nia yao ilikuwa kuiaibisha nchi na Rais, matokeo yake wamejiaibisha mnoooo. Yaani wakenya wanajiuliza hawa ndio viongozi wa juu wanaotaka kutawala Tanzania?!?!?! I wish ingekuwa Dr. Slaa. Kwa kweli kama mnawapenda viongozi wenu waambieni waishie hapohapo Kenya wasiendelee mbele sijui USA sijui BBC watajiaibisha na si kwa lugha bali kwa content. ooh my God! Hawa ndio Top management ya chama?!?! Are we serious?
halafu weekend hii nilimuona Wenje Nairobi,sijui kwanini wasingemuomba awasaidie kidogo hapo,Wenje huwa ana uelewa sanaHawa jamaa ni viazi kweli kweli. Kwenye notions content zao hawana ka-intellect hata kidogo. Kiingereza kibovu malalamiko kibao; ni hovyo tu!
Hata kiingereza kinatofautiana,sasa hao wameongea kiingereza kipi hapo?
ata marekan anaogopaga kwendaSasa aongee mkuu wao wa nchi uone vioja!
halafu weekend hii nilimuona Wenje Nairobi,sijui kwanini wasingemuomba awasaidie kidogo hapo,Wenje huwa ana uelewa sanaHawa jamaa ni viazi kweli kweli. Kwenye notions content zao hawana ka-intellect hata kidogo. Kiingereza kibovu malalamiko kibao; ni hovyo tu!
Dar kwa lugha nyingine maana yake Tz Fuatilia Hata magazeti ya kiingereza ya hapa nyumbani huita Tz Dar,Huyo dada kachapia. Lissu hakupigwa risasi Dar.
Msigwa na Lema nao wala hawakumrekebisha.
Sijui hawakujua jinsi ya kumsahihisha maana Kizungu nacho bana....kigumu kweli kweli.
Dar kwa lugha nyingine maana yake Tz Fuatilia Hata magazeti ya kiingereza ya hapa nyumbani huita Tz Dar,
Huwa inaaminika Kuwa Mji mkuu Ni kiwakilishi cha Nchi Ni Sawa na Hata ukisoma magazeti ya kimataifa kama Business Times nk kwa mfano kutumia sana neno London kumaanisha England,
Hata hivyo matumizi ya mji mkuu wa nchi kama reference ya Nchi huleta mashiko sana katika lugha na utamaduni wa kiingereza,ndiyo maana Hata wewe imekupa shida na ukahisi mtangazaji kakosea.
Kwani na wewe Kimombo hakipandi mkuu,pole.Hiyo ni shida ya WaTz wengi,uchakachuaji wa mitaala naNa wao kwann wasichague kuongea tu swahili, kutafuta kuumbuka kwa maksudi. Mi siongei English kwenye media ng'ooo.