Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

Hii ishu ipo juu ya uwezo wa nchi za Africa kuijadili, Gadaff angekuwa yupo hai tungejua jinsi ya kuijadili..... Ndiyo nchi pekee ilikuwa imebaki Africa yenye nguvu kiuchumi.......
 
Masuala ya Mashariki ya Kati na hasa yanayohusiana na siasa na dini, Nashauri kwa Nchi kama Tanzania ni kukaa 'neutral' ili tuendelee kuwa salama. Ni hatari. Migogoro ya eneo lile inamuhusisha Mungu wa Ibrahim, Isaka, na Yakobo moja kwa moja, Tusije tukamuudhi. Ni hatari (Mwanzo 12:3).
 
Tusiingilie huu ujinga hata kidogo, Marekani inaweza kudeal na mataifa ya waislamu sio Tanzania, tusijaribu kabisa kuingilia vita vya wapalestina na waisraeli, sehemu zote mbili ziko backed up na mataifa powerful, tukiingilia tunajiweka kwenye black list ya mataifa ya waislamu mapema sana, soon utaanza kusikia ISIS Tanzania.

Hawajaambiwa watoe tamko kama wanaunga mkono au la, wasijipendekeze. Huyu spika hua anatamka bila kufikiria, sio kitu cha kwanza anasema ovyo, hakuna faida yoyote ile kuliongelea hili swala.
Acha uoga utakuwa mwanaume wa dar tu wewe.
 
Masuala ya Mashariki ya Kati na hasa yanayohusiana na siasa na dini, Nashauri kwa Nchi kama Tanzania ni kukaa 'neutral' ili tuendelee kuwa salama. Ni hatari. Migogoro ya eneo lile inamuhusisha Mungu wa Ibrahim, Isaka, na Yakobo moja kwa moja, Tusije tukamuudhi. Ni hatari (Mwanzo 12:3).
vipi kuhusu mungu wa israel...? hausiki?
 
Uchwara naye ana kauli ipi!? Au bado kajishika tama kwa frustrations zake!?

Vyombo vya Habari vya Kimataifa vimemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai akisema anaunga mkono tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

African states may follow Trump Jerusalem embassy move: Tanzania's speaker

Tanzania imekana kuwa inaunga mkono tamko hilo

Aiongea na Gazeti la The Citizen, waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga alisema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa bado inaitambua Tel Aviv kama mji mkuu wa Israel

Ubalozi wetu upo Tel Aviv na utaendelea kubaki hapo. Kuna nchi zimetushawishi ila tutabaki Tel Aviv

Jana Rais Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kusema Marekani itahamishia ubalozi wake mji huo jambo ambalo limekosolewa duniani kote

=============================================================

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Dar es Salaam. Tanzania has distanced itself from international media reports that the East African nation was supporting the US recognition of Jerusalem as the capital of Israel.

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Speaking to The Citizen on Thursday, December 7, the minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga, said Tanzania, just like the international community, continues to recognize Tel Aviv as the Israeli capital city.

“Our embassy is in Tel Aviv and we’ll remain there. Some countries have tried to convince us. We will remain in Tel Aviv,” though he declined to give detailed comments over the issue.

Yesterday, US president Donald Trump announced that the US now recognise Jerusalem as the capital of the Israel State, promising that his country will shift its embassy from Tel Aviv to Jerusalem, the announcement was received with criticism from various parties around the world.

Source: The Citizen
 
Tusubiri baba jesca naye atoe tamko maana muda sio mrefu tunaweza kusikia " hata maiga naye aliingilia maswala ya ikulu " na tukaambiwa vinginevyo
 
Unafiki bana! Kutokutambua ili kufurahisha mataifa ya kiarabu ili hali Waizraeli wameukalia!! Ishu ni siku moja utarudishwa Palestina au sio!!
Kwa mimi, familia na ukoo wangu tunatambua mji mkuu wa israel ni jerusalem!.Na aibarikie israel nae hubarikiwa na ailaanie naye hulaaniwa.Tatizo watz wengi wazan kuna udin hapa apana.Israel ina madhehebu yote kama ilivyo hapa Tz kuna waislam,wakristu,wayahud,wapagan nk.lkn tutambue ya kwamba ni tayari Mungu alishaliteua ni Taifa lake teule.Na angalia Nchi zotes zilizo kiri na kuibariki israel zilivyo na nguvu kuanzia ya kiuchumi na mambo mengine.then angalia Nchi ambazo hazikuibarik hali yao ilivyo mfano mzur ni Tz nk.Hatutafanikiwa kwa chochote kama tusipo kiri Israel ni Taifa teule la Mungu na kufungua ubaloz wa Israel hapa Tz.Kenya,Ruanda,Ghana nk wanatuacha nyuma kwa kila nyanja ishu ni moja tuu tangu awali walikiri Israel ni Taifa teule la mungu.Na ata Nnchi za Arabu emiret wanakuwa na nguvu ya kiuchumi kwa ishu moja tu ni walishaikir na wanaendelea kuikubali Israel.Saaa siye tuzidi kuungana na hao wanao uza waafrika wenzetu huko libya tuangalie kama tutapumua hadi masia anarudi.
 
kwel tabu tabuni
 
Kama marekani akihamisha ubalozi wake Tel Aviv ujue uingereza naye atafanya hivyo ufaransa pamoja na ujerumani, Poland sasa jiulize wewe unayebakia una nini hasa cha ziada.
Tujifikirie mara mbili huwezi kuyakomoa mataifa makubwa hata siku moja.
Nyerere aliwahi mtimua balozi wa italia kwa mambo mfano wa haya lakini alijisahau kuwa kamtimua mmoja huyo mzungu lakini kawaacha wengi yaani mapadre, maaskofu, kadrinali wote wanatoa ripoti ya kanisa siku, saa na wakati wote.
Kanisa katoliki ndiyo nchi kwa Tanzania tubishane tuwezavyo ukweli ndiyo huu hata tupatapo viongozi wabovu au wazuri kanisa katoliki linachangia sana.
Hata sasa dunia ina watu wengi imani tofauti lakn bado kanisa katoliki linatawala dunia yote kimkakati wa ajabu. Lina wawakilishi wengi wasomi robo tatu duniani kote na wanawajibika kwa Papa.
Hadi sasa baadhi ya nchi serikali ya Tanzania haina mabalozi lakini katoliki wanao tena wengi.
Karibia marais watatu wa marekani waliopita mshauri wao wa masuala ya uchumi ndiyo huyo huyo alikuwa pia mshauri wa papa kuhusu namna ya kanisa katoliki kutawala dunia, ziegnew brenzisk.
Wenzetu walishaona mbali na mikakati yao ni hatari. Yatazame mashirika kadhaa ya UN kanisa katoliki wamo tayari. Caritas ni shirika kubwa la wakatoliki lipo dunia nzima angalia uwekezaji wao ulivyo.
Mengine tuyaache kama yalivyo yerusalem ndiyo makao makuu ya Israel na wametangaza wanajua. Trump katumwa tu aseme wenyewe wako kimya.
Tanzania mambo ya Zanzibar tu yamewashinda mtaweza hayo ya ughaibuni nyie kakojoeni mlale basi.
Leo mkiulizwa Zanzibar ni nchi? hamna majibu.
 
Kwa mimi, familia na ukoo wangu tunatambua mji mkuu wa israel ni jerusalem!.Na aibarikie israel nae hubarikiwa na ailaanie naye hulaaniwa.Tatizo watz wengi wazan kuna udin hapa apana.Israel ina madhehebu yote kama ilivyo hapa Tz kuna waislam,wakristu,wayahud,wapagan nk.lkn tutambue ya kwamba ni tayari Mungu alishaliteua ni Taifa lake teule.Na angalia Nchi zotes zilizo kiri na kuibariki israel zilivyo na nguvu kuanzia ya kiuchumi na mambo mengine.then angalia Nchi ambazo hazikuibarik hali yao ilivyo mfano mzur ni Tz nk.Hatutafanikiwa kwa chochote kama tusipo kiri Israel ni Taifa teule la Mungu na kufungua ubaloz wa Israel hapa Tz.Kenya,Ruanda,Ghana nk wanatuacha nyuma kwa kila nyanja ishu ni moja tuu tangu awali walikiri Israel ni Taifa teule la mungu.Na ata Nnchi za Arabu emiret wanakuwa na nguvu ya kiuchumi kwa ishu moja tu ni walishaikir na wanaendelea kuikubali Israel.Saaa siye tuzidi kuungana na hao wanao uza waafrika wenzetu huko libya tuangalie kama tutapumua hadi masia anarudi.

Kwa hizi akili, Tutatawaliwa hadi mwisho wa ulimwengu.
 
Back
Top Bottom