Mahakama zetu na sintofahamu ya matukio ya UDOM

nendeni HIGH COURT, muombe JUDICIAL REVIEW, fanyeni hivyo kwa kuwatumia ma-advocate!
Asante sana kaka ushauri wako ni wa afya sana kwa maisha ya hawa wanafunzi, nasema asante na ushauri wako utafanyiwa kazi, asante sana.
 
Futeni kesi mahakamani halafu nendeni mkae na uongozi wa chuo hasa VC wa chuo naamini anauwezo wa kuwashawishi seneti ya chuo iwarudishe ili mmalizie masomo yenu poleni sana nami yaliwahi kunikuta nikafanya kama nilivyowashauri.
 
Poleni sana. Nimeumia sana kuona mnateseka kiasi hiki. Tafadhalini wasiliana na wanasheria wa Chadema watawasaidieni. Nchi hii haitokuwa na haki hadi CCM watakapoondoka madarakani.
 
Back
Top Bottom