Mahakama yaigomea TRA kumhoji Manji

Inaonekana wanatafuta kumuongezea mashitaka,kwani haiwezekani mtu yuko mahabusi halafu taasis ingine inamwita kumhoji kitu gani wakati kampuni ina mkurugenzi wanaweza kumfuata na kukagua makabrasha,
 
Hivi siku zote walikuwa wapi, ina maana manji alikuwa analindwa na JK, huu unaweza kuwa uonevu
Wala sio uonevu.Manji yanayomtokea ni matunda ya uovu wake.The guy is an infidel.Halafuu,unataka kuniambia kwamba hujui Manji alikuwa analindwa na Kikwete?Wewe unaishi nchi gani mkuu?Manji na Kikwete ni Waarabu wa Pemba.Jamaa alifisidi sana kwenye utawala wa Kikwete with impunity.Ila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. It is over.
 
Manji analipwa hapa hapA
Unaota mchana kweupe wewe.

Hapo alipo anatamani hata ipatikane dhamana atoroke nchi, we unadhani jela mchezo?
Kama hujawahi kufungwa basi kamtembelee hata jamaa yako aliyeko jela.

sent from Sokoro nkorambokande
 
Manji mwiz mkubwa huyu kadhulumu sana maskin ikiwemo ardhi

Wamfilisi kukaa ndan hakulet faida

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?

Wahindi tu Nuksi,,,wabaguzi wakubwa na ndio walikuwa wananufaika na keki ya Taifa kuliko wazawa pure,,, afirisiwe tu
 
Unaota mchana kweupe wewe.

Hapo alipo anatamani hata ipatikane dhamana atoroke nchi, we unadhani jela mchezo?
Kama hujawahi kufungwa basi kamtembelee hata jamaa yako aliyeko jela.

sent from Sokoro nkorambokande

Ila hujamulewa jamaa ,,
amemaanisha vingine kabisa
 
Back
Top Bottom