Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

Tushabomolewa wapendwa mpaka nyumba za ndani kabisa huku karibu na Perfect vision nimelipa kodi juzi tu leo asubuh nabomolewa bila kupewa taarifa

Pole sana mkuu..
Usitie shaka utakapo chagukiwa kua kigogo wa uvccm 2017, hutopitia tena haya mateso..

Au unasemaje kidumu chama cha maumivu...
 
Haaa Huyu jamaaa mwenye tshirt ya nyekundu anayelalamika kubomolewa kwenye hiyo video si ndiye yule alikuwa Campaign manager wa Tingatinga A.K.A mzee wa Kutumbua majipu anaitwa nani vile Bilembo au bulembo ahaaaaaaa ...ngoja huyu si ndiye juzi juzi nimeambiwa katuliwa kuwa mshauri wa karibu wa Tinga tinga ahaaa sasa mbona leo anagombana na mgambo badala ya kufanya shortcut aende magogoni kwani kuna umbali gani hata kwa bajaji ndani ya nusu saa umefika aahaaaa aisee ili tingatinga kweli nimeanza kulifikiria kwa mbaaaali na kulitathimini..ahaa duhhhh .....kweli mwaka huuu wataisoma number wenyewe
 
Bado jengo la Tanesco ubungo sasa
 
Wavunje tu wamezidi kujaza machangudoa hapo na vibaka!
Wenzako atujaoa hao madada poa ndio msaada wetu na kuna watu domo zege nao uponea hapo hapo ukimaliza kupata mdudu Noah unashushia castle baridiiii unakamata dada poa kwa bei poa unashushia kimoja unakwenda home akili imetulia huyu jonh bwana kila kitu anataka tuisome namba
 
Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango ya CCM yabomolewe na muda huu majengo hayo yanaendelea kubomolewa . Sehemu hiyo ni Maarufu kama dagaa dagaa ambapo jioni watu walikua wakikutana kubadilishana mawazo kupata vyakula na vinywaji.
View attachment 321149
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo amesema kuwa hakuna order ya mahakama inatoka leo halafu wewe unabomoa kesho, amesema wao wameshindwa kufanya lolote sababu wao ni chama tawala wakifanya jambo wataonekana wanafanya vurugu.

Palishakuwa kama Sodom & Gomoro anyway, wacha watoe huo uchafu...
 
wazee wa kitimoto mtapata wapi?? Maana hapo ndio ilikuwa chimbo.
 
Ni chadema wameanza kazi au ni mwendelezo wa bomoabomoa ya Magu
Bomoa bomoa hii haihusiani na municipal wala kuisoma namba.Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba pana mgogoro wa umiliki wa eneo hilo kwa muda mrefu sana na kesi zipo mahakama za ngazi mbalimbali.Kifupi eneo hilo linagombewa na Umoja wa jumuia ya wazazi Tanzania.Dar Cool Makers na familia ya Ondolo Chacha.Kilichotokea leo ni kwamba Dar Cool Makers kwa kutumia amri ya mahakama inayompa uhalali wa kumiliki eneo hilo ndiye aliyeendesha zoezi hilo la bomoa bomoa.Bulembo alikuwa pale kutokana na wadhifa alionao jumuia ya wazazi.
 
Back
Top Bottom