Mahakama ya The Hague == Kura yako ni muhimu. Piga Kura yako sasa

Radhia whether ni ICC au popote pale issue hapa ni kwamba maisha ya watu yamepotea and something should be done kuondokana na kile Mwanakijiji anaita ''trigger happy policemen''. Period!

Topic inahusu ''ICC'' haihusu ''popote pale''
 
Naona una tatizo au la elimu ndogo au upstairs kuna matatizo. Kwani wanahitajika kuuwawa wangapi ili wahalifu washtakiwe? Tangu Kikwete waingie madarakani kumekuwa na mauaji, utekaji nyara, wananchi kuhujumiwa kwa kujeruhiwa, kumwagiwa Tindikali, kuuwawa katika mazingira tata, kubambikiwa kesi na mauaji ya waziwazi kwa risasi za polisi. Hakika wewe ni mmoja wa au polisi au Usalama wa Taifa ambao kwa sasa si salama tena bali ni kiama kwa jinsi wanavyohusishwa na hujuma mbalimbali dhidi ya wananchi kwa kushirikiana na Polisi katika harakati za kuwazima wanaotofautiana na CCM! Polisi imehusika na mauaji na kujeruhi Arusha ambako walipindisha ukweli na kujiundia tume ya kujichunguza! walifanya hivyo pia Mbeya, waliuwa kule Songea, wameua wananchi wasio na hatia mara kadhaa kule mkoani Mara, wameua Morogoro na kutoa maelezo mepesi mepesi, Igunga, Mto wa mbu, na sasa Iringa. Angeuwawa mumeo, baba yako, mama au mtoto wako ungeendelea kuziita hizo kesi ndogondogo? Nilizozitaja ni kesi za waziwazi bado za watu 'kupotea' kuwekewa sumu za kuwadhuru n.k. Bado hakuna haja kweli ya wahalifu hawa kufikishwa The Hague?

Well said Mkuu.
 
''....substantial number of people''. How substantial is this substantial u talk about? Kwa watu weupe just an indvl inakuwa tusubiri mauaji ya kimbari. I remember Israel went to war with Palestine just to rescue a single soldier. More than 30 people but it doesnt click in our heads? I believe ingekuwa kwa wenzetu wanaojua thamani ya maisha ya binadamu,this could be an issue! One of our former presidents being interviewed on Hard Talk BBC programme alisema mauaji ''...the number of the dead is not that high, just 9 people'' na watu wote duniani walishangaa. ''..just 9 people of lives lost haikumshtua huyu bwana mkubwa. Sasa ndio haya mambo ya kusema ''..a substantial number..''. Asee, au ndio kama signature ya mkuu mmoja hapa inasema 'miafrika ndivyo tulivyo' hatujali maisha yetu.

Imekaa vizuri hii! Ipo haja ya sisi sote bila kujali itikadi za chama, dini, siasa au kabila kuruhusu au kushangilia maujai haya. Mnaoponda vaeni viatu vya wafiwa kama mngesema haya! Tunaishi kwa kutojua uhai wa kesho yetu sababu ya polisi na viongozi wachache wapenda madaraka! Jamani hakuna aliyesalama kwa polisi wetu. Personally imeniuma sana.
 
Kwakuwa kuna dalili ya haya kuendelea na kuwa mabaya zaidi, nafikiri hoja hiyo inaweza kujadiliwa na kufanyiwa kazi ili kuzuia mauaji zaidi mbele ya safari.
 
Huyu jamaa kafungua thread halafu kapiga mkwala isifutwe, nakushauri ungeanza na Benjamin Mkapa alivyowauuwa Wapemba 34 kwenye maandanano.
 
Radhia whether ni ICC au popote pale issue hapa ni kwamba maisha ya watu yamepotea and something should be done kuondokana na kile Mwanakijiji anaita ''trigger happy policemen''. Period!

Watu wangapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kinga ni bora kuliko tiba,tusikimbilie kutaka kushtaki baada ya maafa kutokea.Wanasiasa wenye kusukumwa na tamaa za madaraka wanaivuruga nchi na watanzania wengi watahangamia isipochukuliwa tahadhali kwani yanayotokea sasa hivi yanaweza kuepukika.
 
The Hague hawana muda wa kusikiliza vikesi vyenu vidogovidogo wewe. Wale wanadeal na international criminal cases. Watu wengine bwana.

Mimi napenda tu hiyo Avatar yako...BASI....

...UKIBONYENZA KITU LAINIII.......!!! KAMA KINATAKA KUTOBOKA....siku nikikutana NAYO...ahhhh...mpaka kwenye NYAVU...LOL
 
Huyu jamaa kafungua thread halafu kapiga mkwala isifutwe, nakushauri ungeanza na Benjamin Mkapa alivyowauuwa Wapemba 34 kwenye maandanano.

Mkuu Ritz,
Si Dr. Slaa itabidi aunganishwe kwenye mashtaka? ICC haiangalii walioua hata wachochezi wa upande wa pili wanaunganishwa. Kauli ya liwalo na liwe ni kubwa sana na ndiyo iliyo wahamasisha makamanda kutotii amri halali ya polisi na aliyetoa gharama za kusafirisha makamanda kutoka Iringa na Mbeya na pia anahusika.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
The Hague hawana muda wa kusikiliza vikesi vyenu vidogovidogo wewe. Wale wanadeal na international criminal cases. Watu wengine bwana.

"Hakika wewe ni mmoja wao"
na kabla jogoo hajawika, utaukana ukweli mara tatu!!!! BADO KITAMBO KIDOGO.
 
THATS WHY I ALWAYS SUGGEST ALL LAWYERS SHOULD BE KILLED, WANA USANII SANA HAWA, WAMEPANGA MAMBO IN SUCH A WAY KWAMBA UNTOUCHABLES WAENDELEE KUWA UNTOUCHABLE.
HIVI MNAMAANISHA MAUAJI YALOFANYWA NA MKAPA UKO PEMBA NI KAMA ALIUA MAUMBWA TU?? PIA MAUAJI YA ARUSHA, YA MOROGORO PIA AYA YA IRINGA KWA WANASHERIA NI KAMA KITU HALALI KWA MATENDO YALIYOFANYWA.
NAIFAGILIA IRAKI, IRANI, VENEZUELA, CHINA UKO HAWALEI PIMBI NA PIA HAWA WADAKU AKA WANASHERIA.. UKIUA TU NAWE UNAKULA SHABA HADHARANI NAWE UYASIKIE MACHUNGU ULOMSABABISHIA MWENZIo
 
EEH EEH!! WEWE Ritz MBONA UNAMUHASI BWANA WAKO?? UTAKUWA HAUPEWI POSHO ZA KILA SIKU TOKA KWA NNAPE
 
Back
Top Bottom