Mahakama ya mwanzo makuyuni-mombo katika wilaya ya korogwe(v) ni mwiba kwa wanyonge

MBWETEKAUZU

Member
Nov 1, 2014
13
0
Nashuhudia haki yangu akipewa mtu mwingine na hakimu mbwana wa mahakama ya mwanzo iliyopo korogwe(v) maeneo ya makuyuni-mombo
 
funguka mkuu haki gani amepewa mtu mwingine haki ya ndoa au
 
Pole mkuu. Mahakama hiyo sio ya mwisho kimaamuzi, bado unayo nafasi ya kupigania haki yako kwa kukata rufaa mahakama ya wilaya ambapo watachambua ushahidi wa pande zote mbili na kutoa haki kwa mwenye haki. Pia kama hautaridhika unweza kukata rufaa mahakama kuu na baadae mahakama ya rufaa.
 
Nashukuru sana kwa mchango wenu.hapa nipo kwenye mchakato wa kukata rufaa lakin naambiwa ili kupata namba za mafaili ya kesi yangu inanibidi kuandika barua zenye mlolongo mreefu.je ni kweli ili kupata namba za majalada ya kesi yangu natakiwa kuandika barua?
 
Wewe hata ukikata rufaa bado utashindwa kesi!
Hapo makuyuni hakuna rushwa wewe umeshindwa kujielezea mahakamani!
Wasalimu huko, mimi KWEMALULI ndio kwetu!
Kama vipi ni pm nikupe msaada wa kesi yako!
 
Back
Top Bottom