Magufuri kujaribu kutuliza hasira za wanaIGUNGA LEO.

mamaWILLE

Senior Member
Jul 27, 2011
151
39
Waziri wa ujenzi mh magufuri leo saa tano ameanda mkutano akishirikiana na mkuu wa wilaya ya igunga FATUMA KIMARIO utakao fanyika hapa viwanja vya Sokoine . Ajenda ni kusu kumtambusha mkandarasi hapa igunga ili ajenge daraja la mbutu ambalo bwana Rostam Aziz alishìndwa kulijenga kwa miaka 18 aliyotawala. Mkutano umekuwa wa ghafla sana. Fatuma Kimario nae anataka ajisaishe kwa yale yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo akidai alibakwa japo haikuingia.wananchi wa igunga bado wana hasira za kuchakachuliwa wa mgombea wao wa chadema mwalim Kashìndye. Yatakayo tokea nitawajuza.
 
walisema mkutano unaanza kuanzia saa 4 kamili mpaka sasa watu ni wachache sana wengi mpaka sasa ni watoto. Sasa wanatangaza makirikiri nao watakuwep6
 
Kila la kheri kamanda Magufuli. Angalieni wahuni wa Chadema wasijewakavuruga mkutano.
 
Hongera Dr. Kafumu, umeanza kutekeleza ahadi zako. Nakutakia kila la kheri.
 
Waziri wa ujenzi mh magufuri leo saa tano ameanda mkutano akishirikiana na mkuu wa wilaya ya igunga FATUMA KIMARIO utakao fanyika hapa viwanja vya Sokoine . Ajenda ni kusu kumtambusha mkandarasi hapa igunga ili ajenge daraja la mbutu ambalo bwana Rostam Aziz alishìndwa kulijenga kwa miaka 18 aliyotawala. Mkutano umekuwa wa ghafla sana. Fatuma Kimario nae anataka ajisaishe kwa yale yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo akidai alibakwa japo haikuingia.wananchi wa igunga bado wana hasira za kuchakachuliwa wa mgombea wao wa chadema mwalim Kashìndye. Yatakayo tokea nitawajuza.

Umeanza vizuri sana kutoa habari lakini mwisho umevurunda.

Ulitakiwa wewe utoe habari kama ilivyo kisha comment zako zije baada ya habari hiyo.

nakupa pole
 
Waziri wa ujenzi mh magufuri leo saa tano ameanda mkutano akishirikiana na mkuu wa wilaya ya igunga FATUMA KIMARIO utakao fanyika hapa viwanja vya Sokoine . Ajenda ni kusu kumtambusha mkandarasi hapa igunga ili ajenge daraja la mbutu ambalo bwana Rostam Aziz alishìndwa kulijenga kwa miaka 18 aliyotawala. Mkutano umekuwa wa ghafla sana. Fatuma Kimario nae anataka ajisaishe kwa yale yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo akidai alibakwa japo haikuingia.wananchi wa igunga bado wana hasira za kuchakachuliwa wa mgombea wao wa chadema mwalim Kashìndye. Yatakayo tokea nitawajuza.
Hapo red bolded nimeipenda sana,alibakwaje sasa wakati kitu hakijaingia!!!!hahahahahaha!
 
Waziri wa ujenzi mh magufuri leo saa tano ameanda mkutano akishirikiana na mkuu wa wilaya ya igunga FATUMA KIMARIO utakao fanyika hapa viwanja vya Sokoine . Ajenda ni kusu kumtambusha mkandarasi hapa igunga ili ajenge daraja la mbutu ambalo bwana Rostam Aziz alishìndwa kulijenga kwa miaka 18 aliyotawala. Mkutano umekuwa wa ghafla sana. Fatuma Kimario nae anataka ajisaishe kwa yale yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo akidai alibakwa japo haikuingia.wananchi wa igunga bado wana hasira za kuchakachuliwa wa mgombea wao wa chadema mwalim Kashìndye. Yatakayo tokea nitawajuza.

Najua unataka habari yako isisimue lakini kuwa na adabu hata kwako mwenyewe. Lini huyu mama kasema maneno hayo au ndiyo "fabrications" zinaletwa humu ili kukoleza ushabiki wa kivyama? Wanawake wana hadhi kubwa sana sasa hivi katika jamii ya watanzania ni lazima kama sisi tunataka kujenga jamii iliyo sawa na huru ni lazima tuwaheshimu wanawake hata kama wamekosea.
 
Back
Top Bottom