Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Lizaboni msitukane wakunga wakati uzazi ungalipo....ona sasa mliomuona mzima ndio anaweza asifike trh 24
 
Last edited by a moderator:
Baradhuli mkubwa ww ,shwaini kbsa,unasema anaumwa vyanzo vimekwambia.nyambaf..tcra uyu mtu ashughulikiwe.leo hii alikua ofisi za uenezi kariakoo na tumeona eatv

Lazima uwe unataka kutuchekesha. Yani kati ya tv zote ndio aonyeshwe eatv tu. Laa ziwe picha za throw back
 
Endeleeni kujipa matumaini kama ya el wanaukawa. Kesho Tingatinga ndani ya Lindi. Mnazani ni huyo zezeta asojua anamnadi nani mpaka linakosea kila siku kwa kukosa kumbukumbu.

Rais wa Libya ni Sadam, hapana Sadam ni wa Kuwait....
 
Jana alikua Chalinze na bagamoyo. Leo Mapumziko kesho utamsikia Zazibar.
Hadi jana, tarehe 10.10.2015, Dkt. Magufuli alikuwa amekwishatembelea Mikoa 22 na Majimbo 203. Amekwishafanya mikutano mikubwa rasmi 240 na mikutano 865 ya kusimamishwa na wananchi njiani, hasa wananchi wa vijijini.


Picha hizi ni mikutano ya jana na juzi

View attachment 297655View attachment 297656

Chalinze na bagamoyo ni juzi tena aliahid meli kutoka Ulaya zitawafikia watu wa bagamoyo hahaaa eti haiwezekani bagamoyo kukawa na watalii afu maji hakuna Magufuli bana..jana na leo yuko wapi jamaniiii..
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga

Mkuu hivi hujui kuwa watanzania hawawataki vibaya sana mkapa na jk..kama malocks angepata hata30%zitashuka zaidi kama hao jamaa wataingia kumpigia kampeni kwa kifupi meli ishazama nyie nyosheni mikono tu haina jinsi!the game is over!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom