Magufuli: Nilipanga kuchukua timu ya jeshi iwe ya Taifa

kwani hata ukichukua timu ya jeshi kama inalala njaa, haina benchi zuri la ufundi, haina pesa itafanya nini?!?, mpira wa leo sio kama aliocheza akiha hussein ngulungu, Sunday manara,Juma pondamali,Mo Kajole na wengine wengi,soka la leo its all about money. acha kuwalipa wanajeshi maslahi yao miezi kadhaa mfululizo uone!
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
 
Na Mimi nimepanga washabiki tuende tukachezee timu ya Taifa maana sisi ndio wazalendo hasa tangu Uhuru bado tunashangilia Tuu
 
Nonsense. Huyo walishasema alikuwa na faili Mirembe, Dodoma. Ingekuwa hivyo akina Israel, US, UK wangefanya hivyo.
 
Back
Top Bottom