Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Duh nini tena kwa silaha ya mwisho ya CCM? Kamanda augue haraka apone haraka na ikiwezekana leo hii hii ili arudi kujenga nchi. Mungu mjaalie afya njema John Joseph Pombe Magufuli (PhD), (MB), Waziri wa Ujenzi.

Mkuu Kimbunga ni kweli inaweza kuwa silaha ya mwisho lakini aliyoyasema Igunga kwamba daraja litajengwa ktk miezi mitatu baada ya uchaguzi imani kwake imepungua kama si kutoweka kabisa. Na ukichanganya na masuala ya nyumba za serikali ndio kabsaaaa. Keshaingia kwenye longolongo ataendelea hivyo hivyo. Ukishaanza kula nyama ya mtu hutaacha; by J. Nyerere
 
Ugua pole JEMBE letu, kwa mujibu wa Naibu Spika ni kuwa Mh. Magufuli anaendelea vizuri na pressure iliyokuwa imepanda imeanza kuteremka.
 
mako-omba-kura.jpg


kweli ni mgonjwa anajikaza kiume tu hapo.



http://www.mwananchi.co.tz/images/stories/mako-omba-kura.jpg

Ukiangalia picha ambayo Makongoro kampigia Magufuri unawezi kuona kuwa Magufuli ana matatizo ya kiafya, hebu icheki hiyo picha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom