Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Mtu yoyote anaweza kuandika kwenye mitandao kuna kila aina ya matakataka so mtu akiandika we umekufa so itakua kweli umekufa kisa mtu mmoja kaamua kuanzisha speculation
acha uzushi ulitaka Msemaji wa Serikali ndio akueleze kwanini sasa upo huku unaasaka nini?

tunchosema ni KUMUOMBEA iwe Heat attack au Leukamia acha kuingia udaku na instragam ingia mpaka nje hata Ujerumani
 
Umeona sasa kwasababu ya upuuzi wako umeenda kuokota takataka watsap hili limeanza kuzunguka wiki mbili zilizopita mimi nilitumiwa kama utani
 
Kisheria, kuna kitu kinaitwa precedence, yaani kama kiliwahi kutokea kabla, then kukitokea mazingira yale yale, kinaweza kutokea tena and its not news!, sijui kwa nini watu wamepanic sana this time!.
P
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom