Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Upepo unamuendea vibaya sana mgombea wa CCM, Dr. Magufuli.
Mwanzo angalau watu walivumilia na kumsikiliza, sijui alijiamini kupita kiasi akaona nyomi yote ni ya wafuasi wa CCM?

Sijui hasa amekosea nini kwenye kampeni zake?
Labda ni kupiga pushap? sijui
Labda ni kashfa za wazi juu ya afya na utu wa mzee wetu Lowasa? sijui
Labda ni gundu tu na nyota imekataa kuwaka? sijui
Labda ni ubovu na wizi wa CCM? sijui

Au Labda ni wakati wa Lowasa tu!!
Nisaidieni jamani, kosa la Magufuli ni lipi?

Tatizo lake anatumia nguvu nyingi sana kusukuma gari lililomzimikia wakati mwenyewe akiwa bado ndani yake.
Newton's First Law of Motion: Every object in a state of uniform motion tends to remain in that state of motion unless an external force is applied to it.
 
Au kama mtu aliyepagawa na mapepo

Ha ha ha ha daaa mkuu umenichekesha mpaka basi duu, nishawahi ona mtu aliye pagawa na mapepo akiombewa weeee hautathubutu kukaa karibu

Nawashauri wananchi wanapoenda kwenye ile mikutano yake wakae kwa tahadhari maana lolote laweza tokea
 
Mnapopiga push up kwenye majukwaa mna maana gan? hamutok ikulu hata mkishindwa kuchaguliwa?mnajiandaa kpgana? logic ya push up ccm ni ip?
 
Mnapopiga push up kwenye majukwaa mna maana gan? hamutok ikulu hata mkishindwa kuchaguliwa?mnajiandaa kpgana? logic ya push up ccm ni ip?

Kuwa fit, kwani push up huwa inapigwa kwa lengo gani? wewe vipi?
 
Jana Raisi wa Russia Bwana Putin alionyesha picha za Video akiwa anaendesha ndege za kivita,huyu Mr Kidevu aka Raisi wa Kuwait alikuwa Saddam Hussein anatuonyesha anapiga push ups!!!bora ata push ups zenyewe azipige vizuri akiwa amenyooka kama Obama yeye anaweka makalio juuuu....CCM OUT
 
Kwani majukwani kuna tatizo gani? Ni nani amesema jukwaani haparuhusiwi kupiga push up au kuchangamsha mwili!

kila jambo lina mahala pake bana.kwahiyo siku nyingine wakibadlisha zoez hilo na kufanya mapenzi jukwaan utasema ni kawaida?
 
Mnapopiga push up kwenye majukwaa mna maana gan? hamutok ikulu hata mkishindwa kuchaguliwa?mnajiandaa kpgana? logic ya push up ccm ni ip?

Mbona mgombea wetu anachapa usingi majukwaani na hatuulizi logic nini kama anakuwa nausingizi mwingi kila wakati mahali pakwenda sianapajua!!
 
Jana Raisi wa Russia Bwana Putin alionyesha picha za Video akiwa anaendesha ndege za kivita,huyu Mr Kidevu aka Raisi wa Kuwait alikuwa Saddam Hussein anatuonyesha anapiga push ups!!!bora ata push ups zenyewe azipige vizuri akiwa amenyooka kama Obama yeye anaweka makalio juuuu....CCM OUT

Kazoea mchezo mbaya huyu ana jisahau kwamba wanaume wanamtazama na staili zake hizo. Shauri yake.
 
kila jambo lina mahala pake bana.kwahiyo siku nyingine wakibadlisha zoez hilo na kufanya mapenzi jukwaan utasema ni kawaida?

Inategemea, kama walengwa wa huwo Mkutano wanaona ni powa tatizo liko wapi? Si unaona watu wanajaa kama wangekuwa hawapendi kuwaona wakipiga push up jukwaani basi wasingehudhuria hiyo Mikutano, ni rahisi kihivyo tu wala hauhitaji kuumiza kichwa juu hilo!
 
kila jambo lina mahala pake bana.kwahiyo siku nyingine wakibadlisha zoez hilo na kufanya mapenzi jukwaan utasema ni kawaida?

Upo sawa kabisa ndio maana na sisi tunasema kwa mtu mzima kujisaidia (kujinye....) hadharani sio jambo la kawaida
 
Push ups kwetu watanzania ni tafsiri kwamba Rais Magufuli yuko vizuri kiafya kututumikia...

Miaka mitano ijayo wagombea wote wametuahidi kutukimbiza mchakamchaka kimaendeleo...sasa lazima tuone nani anayo afya ya kushinda site na sio kushinda amelala..
 
Amini usiamini, mungu atatuonesha baada ya uchaguzi ni nani alikuwa raisi sahihi! Ni suala la muda na kusubiri baada ya October 25 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom