Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
Mazoezi wanafanya jukwaani? Hicho ni kiburi cha uzima cha kujiona yeye ana afya bora kuliko wenzake pasipo kujua kwamba afya aliyo nayo ni kwa neema ya Mungu tu maana hajui yatakayo zaliwa kesho. Mungu hadhihakiwi.
 
Kama wewe ni mwajiri unaweza kumpatia ajira mtu mgonjwa kweli tena ambaye unamwona? Sio ushabiki tangulizeni maslahi mapana ya Taifa.

acha upumbavu wew kenge hatma ya afya na uhai wa mtu anaujua mungu.muulizeni cellina kombani aliyemtukana lowassa kuwa akafie chadema leo hii yuko wapi????
muulize komba aliyemtukana warioba lei yuko wapi????

afya ya mtu Anaijua mungu na ccm acheni kumdharau mungu na kujifanya kutoa hukumu xa kipumbAvu mtakufa nyie na lowassa atakuw rais wenu
 
tuna wasiwasi na urijali wake kutokana na jinsi alivyopiga zile pushapu huenda mambo si shwari na hafanyi kazi afanye basi laivu tuone kama yeye ni rijaall kwa kukandamiza na kurushia mashabiki wake
 
Kazomewa mbeya na mazoezi yake.Tanzania tukisema tuchague mabondia matumla angeshakuwa Rais.


swissme

Urais sio lelemama na sio jambo la mchezo

Tunataka mtu alietimamu kimwili mpaka kiakili
Na rais huyo n magufuli

Hatutak rais ambae anashindwa kucontrol mwili wake ni lini kinyes kitoke au kisitoke

Poor ukawa
 
Kama unataka mtu wa kuinua vyuma au kubeba lumbesa au baunsa kiukweli hautampa kazi ila kama unataka atumie akili why not?kwani wewe kazini kwako ulipimwa afya kwanza?mbona unaumwa na kazi unafanya?

Lowasa akili yake inaumwa pia
Akili ya lowasa imeshindwa kucontrol ni wakati gan kinyesi kitoke na ni wakati gan kinyesi kisitoke

sembuse urais
 
Nimekuwa nikifuatilia tangu DK MAGUFULI mgombea urais kwa tiketi ya CCM apige push up kuonyesha uimara wa afya yake. Wanaompigia kampeni sehemu mbalimbali nchini nao wanaiga staili hiyo

Imekuwa kama Sera yao, mikutano mingi ya dk pjm anafanya mazoezi jukwaani kama kurukaruka, kucheza mziki, kupiga push up, kuliko kujikita kwenye kutangaza Sera. Na wasanii kibao wanaiga mwenendo huo
 
Lowasa na Vunjo hali ni mbaya sana,zomeazomea hadi inatia huruma.

Watu wamemzomea hadi ameshushwa stejin kwa kukokotwa
Najua kwenye suruali yake kile kitendo cha geita atakuwa alikifanya
maana hakutarajia vunjo angezomewa vile
kweli hali imebadirika
 
Jana nikamwona anarukaruka jukwaani kama mtu anayetaka kupigana ndondi, ccm kweli wameishiwa
 
pamoja na kufanya hayo DR MAGUFULI amekuwa akitumia si chini ya saa moja (dakika 60 sawa na sekunde 3600) kueleza sera za chama chake zilizopo katika ilani ya uchaguzi wa CCM ya mwaka 2015/2020 , And viceversa MGOMBEA WAKO WA UKAWA pamoja na kushindwa kushika mic, kushindwa kupanda jukwaani hadi asukumwe makalio, kushindwa kugeuka hata nyuma na hatimaye kujinyea lakini bado amekuwa hawezi kutumia japo dakika 5 kueleza sera za chama chake, HILI HUJALIONA?


Nimekuwa nikifuatilia tangu DK MAGUFULI mgombea urais kwa tiketi ya CCM apige push up kuonyesha uimara wa afya yake. Wanaompigia kampeni sehemu mbalimbali nchini nao wanaiga staili hiyo

Imekuwa kama Sera yao, mikutano mingi ya dk pjm anafanya mazoezi jukwaani kama kurukaruka, kucheza mziki, kupiga push up, kuliko kujikita kwenye kutangaza Sera. Na wasanii kibao wanaiga mwenendo huo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom