Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,413
Dahhh coco beach iwe ya kulipia tena, ckukuu tutaenda wapi sasa, mazoez asubuh tutafanya wapi? Nayo tukalipie?
Watuachie coco yetu jamani.
Watuachie coco yetu jamani.
Mimi simchukii magufuli as a person Bali kukurupuka kwake hatuezi kwenda nae sawa
Mkuu swala la beach huwezi kulilinganisha na mambo ya Nyerere miaka ya nyuma, Sio kila kitu utawapa investors kwa sababu tu wanataka, sehemu nyingine utaziacha public tu, sasa ku~privatize sehemu za free kama hizo mwisho wa siku utaenda utaambiwa ulipe mshiko wa juu kuwepo tu pale sijui utajisikiaje.
Na Magufuli alichoongea kua sometimes waangalie kuboresha na sehemu za nje ya miji kidogo, it was a good move, makampuni makubwa sana yakisema yanaanzishwa out of the city maana yake sio tu ongezeko la ajira ila social services zinasambaa kwa sababu kuna pesa kule pataanza kuangaliwa, jiji linazidi kupanuka vizuri bila kuleta inconveniences zozote kwa public.
Magufuli akifeli sitomlaumu, ni kazi kubwa sana kufix whats already broken, mimi nitawalaumu watanzania kwa kua hawako supportive kabisa. Kazi ya kujenga taifa sio ya Rais, Waziri mkuu na specie chache za bungeni peke yake, ni kazi ya kila mtu.
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.
sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.
hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.
hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.
argue,don't shout!
Mimi simchukii magufuli as a person Bali kukurupuka kwake hatuezi kwenda nae sawa
Waliokuwa wanapenda mteremko sasa wanaumbuka, kuna vijitu vilikuwa mtaani vinajifanya vitapewa vyeo vya bure sasa dalili hazipo kabisaaa, tenda zimekatwa, safar za nje zimeyeyuka, matamasha yamezikwa rasmi, ukuu wa wilaya na ukurugenzi raman haisomeki kabisaa, wizara zitapungua, hakuna kununua magar mapya(v8) na yaliyopo marufuku kutumika kwenye shughul binafsi, ten percent ni ndoto tena...majipu ni mengi sana kwahiyo msishangae kuwaona wagonjwa wakiweweseka kila siku
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.
sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.
hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.
hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.
argue,don't shout!
kwaio uwekezaji wa manji cocobeach ni wa hovyo?
Magufuli chapa kazi.... hawa midomo ya mafisadi papa wameshashindwa.... wanahaha.....
TANZANIA mpya naiona...