Magufuli ataendelea kumlinda Waziri Charles Kitwanga mpaka lini?

Status
Not open for further replies.

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
kitwaa.png

Huyu ni waziri wake wa mambo ya ndani na wengine wanasema ni ndugu yake.
Lakini kila kukicha skendo na tuhuma mbali mbali zinazidi kumwandama huyu waziri kuanzia kuchukua mishahara bila kulipwa BOT kwa miaka 6 mpaka hii ya Lugumi enterprises, NIDA na mengineyo.

Kama mlipa kodi najiuliza kwa nini Waziri Kitwanga asikae pembeni mpaka ili kumrahisishia kazi magufuli ambaye spidi yake na kutotopenda logolongo sote tunaikubali? Hivi kama kweli kitwanga anamthamini Magufuli kwa nini asimfanyie wepesi mheshimiwa rais na kukaa pembeni?

na kama Charles Kitwanga hataki kukaa pembeni kwa nini Mhehsimiwa rais anendelea kumbemba waziri ambaye anaongoza wizara nyeti huku amekubikwa na kashfa mbabali mbali?

Kwa jinis ilivyo mheshimiwa rais akubali kuwa kwa sasa Waziri Charles Kitwanga ni liability kwake.
 
Katika hili nadhan mleta mada ana hoja ya msingi, sijui mamlaka za juu zinasemaje kwa sababu tuhuma kwa huyu mzee zimekuwa nyingi sana, mwalimu nyerere alishawahi kutwambia juu ya waziri kule Uingereza aliyekaa pembeni kwa sababu ya tuhuma, nadhan kuna haja ya kummulika huyu jamaa au labda tayari anamulikwa na mamlaka za juu kuhusu haya yote yanayosemwa juu yake,

Inawezekana ni kweli au c kweli lakini mimi na wewe hatuna namna ya kuprove mpaka mamlaka za juu ndo zitwambie, tupo katika kipindi kigumu sana cha mpito, tupo katika kipindi cha kubadirisha fikra na dira za watanzania, tupo katika mpito wa kufichua wabadhirifu wa mali za uma, ni muhimu sana, narudia ni muhimu sana hili suala kuangaliwa kwa upana wake kwa masalhi ya nchi, kwanini yeye kila siku? hapa kuna jambo na hilo jambo linaweza kuwa ni kumchafua au linaweza kuwa ni kweli, tusubiri tuone mwisho wake, nadhan mbivu na mbichi zitajulikana.
 
watz bado mnaamini maigizo ya ngosha?? mpaka sasa ametumbua vipele tu majipu hajagusa hata moja.bora angeachana na hii fukuzafukuza yake akajikita kwenye kufufua uchumi kwa kuanza kujenga viwanda.sisi wananchi tunaandika.hatusahau hata neno.
 
Anasubiri report na recommendations za PAC...

HUJUI WATU WA MADAWA YA KULEVYA WAMEJIPANGA KWELIKWELI KUIANGUSHA SERIKALI KWA KUTUMIA WABUNGE.KWA HIYO HIZI HABARI ZA KUMUASSOCIATE KITWANGA NA UCHAFU WOWOTE LAZIMA ITATOKEA NA ITAENDELEA. SUBIRINI TUONE NANI HASA KALA HERA HIZO.HICHO NDO KINAFANYIKA.

ASANTE
 
Rais hawezi kumfanya chochote kwa sasa hadi Kamati ya Bunge ya PAC ipate na kukamilisha ripoti yake.
 
kitwaa.png

Huyu ni waziri wake wa mambo ya ndani na wengine wanasema ni ndugu yake.
Lakini kila kukicha skendo na tuhuma mbali mbali zinazidi kumwandama huyu waziri kuanzia kuchukua mishahara bila kulipwa BOT kwa miaka 6 mpaka hii ya Lugumi enterprises, NIDA na mengineyo.

Kama mlipa kodi najiuliza kwa nini Waziri Kitwanga asikae pembeni mpaka ili kumrahisishia kazi magufuli ambaye spidi yake na kutotopenda logolongo sote tunaikubali? Hivi kama kweli kitwanga anamthamini Magufuli kwa nini asimfanyie wepesi mheshimiwa rais na kukaa pembeni?

na kama Charles Kitwanga hataki kukaa pembeni kwa nini Mhehsimiwa rais anendelea kumbemba waziri ambaye anaongoza wizara nyeti huku amekubikwa na kashfa mbabali mbali?

Kwa jinis ilivyo mheshimiwa rais akubali kuwa kwa sasa Waziri Charles Kitwanga ni liability kwake.
Tusiwe wepesi kutoa maamuzi...Mi nafikiri kwa tuhuma hizi Mheshimiwa Waziri atajipima, na tunasubiria utetezi wake kwa Umma either moja kwa moja kupitia vyombo vya Habari au Bungeni ambapo wawakilishi wa Wananchi wanapatikana..Tulipe Muda itafahamika tu muda si mwingi.
 
Siku hizi UKAWA imekuwa ndiyo washauri wakuu wa Magu? Ubavu huu wanaupata wapi! Kwahiyo zile Team...... zote zimejipanga kumshauri Rais na siyo wenyeviti wao?
 
HUJUI WATU WA MADAWA YA KULEVYA WAMEJIPANGA KWELIKWELI KUIANGUSHA SERIKALI KWA KUTUMIA WABUNGE.KWA HIYO HIZI HABARI ZA KUMUASSOCIATE KITWANGA NA UCHAFU WOWOTE LAZIMA ITATOKEA NA ITAENDELEA. SUBIRINI TUONE NANI HASA KALA HERA HIZO.HICHO NDO KINAFANYIKA.

ASANTE

usipende kutetea watu, inawezekana ujui lolote ktk hilo. Asante
 
Yeye atoke tu. Tatizo la mitanzania haitaki kuchukua hatua hapo hapo. Huyo kitwanga kujiuzulu ili abaki na ubunge wake anasubiri nini.?? Mi mtu mingine sijui ikoje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom