Magufuli alitaka tumuombee tangu siku anachukua fomu

Mdanganywa

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
620
342
Kuna watu wanashambulia kwamba kila siku ni matamshi ya kuombewa. Sijui kwa nini hawa hawakutamka wakati Magufuli anachukua fomu. Nimeamua kuweka thread inayojitegemea ili kuwakumbusha.

20160126_181711.jpg
 
Ahsante Mkuu kwa huu ushahidi. Ndo maana alishinda uchaguzi coz alianza na Mungu. Si kama hawa wanaoanza na Mafisadi
 
Wadhamini wa mgombea mmoja wa CCM walitakiwa wawe wachache tu, mmoja wa wagombea akaenda na watu wengi zaidi ya mara mia moja ya wale waliotakiwa!. Ngoma ikivuma sana haichelewi kupasuka. Wengine wanao msemo usemao kuwa anayejikweza atashushwa na asiyejikweza atapandishwa hadhi yake. Utu wa mtu ni kitu chema sana, na hutazamwa na walio wengi.
 
Back
Top Bottom