Magufuli afanya ziara ya kushtukiza ujenzi uwanja wa ndege na kukuta kazi zimelala

Amesema ameenda mwenyewe kushuhudia ujenzi wa uwanja kwa kuwa angeulizia angedanganywa na kusema kesho kazi iendelee kufanyika mara moja na madai atayashughulikia
Pia amesema yeye ndie atakuwa consultant wa ujenzi wa uwanja huo na waziri kila siku atakuwa anamletea ripoti na atafute ma injinia wenye uzalendo wa Tanzania na wakilipwa fedha, fedha hiyo ibaki Tanzania

huu uwanja si ndio ulipanuliwa kwa shilingi 600b
 
ata akihitaji volunteer

kesho kwenda kubeba zege

tutajitokea wasikukwamishe mkuu wetu

tuko pamoja kama uhai na kifo
 
Mambele.....
Mkuu acha kabisa, nilitua kwa Masaa machache Abu Dhabi na Etihad, kwa kweli nilipatamani sana iwe ndio KIPAWA
Mkuu acha tu hata kule kutembea tu as window shop ktk mauwanja ya mbele inaraha yake au kuwa kwa Spa wakati wakusubiri mda ufike ninooooma sana
 
Amesema ameenda mwenyewe kushuhudia ujenzi wa uwanja kwa kuwa angeulizia angedanganywa na kusema kesho kazi iendelee kufanyika mara moja na madai atayashughulikia
Pia amesema yeye ndie atakuwa consultant wa ujenzi wa uwanja huo na waziri kila siku atakuwa anamletea ripoti na atafute ma injinia wenye uzalendo wa Tanzania na wakilipwa fedha, fedha hiyo ibaki Tanzania

Consultant? How? Mkemia anakuaje consultant wa majengo? Wakat hyo project inaanza hakukua na consultant mpk yeye leo aje aseme atakuwa consultant?
(Engineering project yoyote kabla haijaanza lazma iwe na Consultant, Contractor na Client)
Hizi drama hizi sjui ztaisha lini maana naona 2020 mbali kwel
 
li nchi lakijinga hili mnajitangaza kila mwezi kuvuka malengo lkn mnashindwa kulipia miradi ya maana mpaka kazi zisimame ndio mnastuka busy na kutafuta kick za kijinga
 
Mwambie drama zimetuchosha asibadilishe mada wamelianzisha la unga walimalize. Huo ucosultanat anautaka wa nn wakat yy ndio kila kitu
Unga peke yake hauendeshi nchi. Ye kisha toa tamko linafanyiwa kazi. Kuna mambo mengine mengi yalishaanza so lazima yasonge.
 
Mwambie drama zimetuchosha asibadilishe mada wamelianzisha la unga walimalize. Huo ucosultanat anautaka wa nn wakat yy ndio kila kitu
Watanzania tufike mahali tuache kushabikia ujinga......... Kisha tuwapongeze viongozi pale wanapofanya kazi na kutimiza wajibu wao. Km wewe ni mmoja wa wahanga pole na punguza munkari.
 
Hii staili nimeipenda maana habari ya kupewa taarifa tu mezani unaweza ingizwa chaka, hizi ziara za kushtukiza ndo mpango mzima hii Tanzania tumezidi uvivu yaani nikiangalia kenya wanavyoenda kwa kasi hadi napata kizunguzungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom