Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

Kufuatia huyu Kaka'etu aliyepata heshima kubwa sana kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini kupitia IPP Media,

Ambaye pia ni mwalimu wa fani hiyo Chuo Kikuu cha Tumaini kampasi ya Dar es Salaam,
mwenye elimu ya kiwango cha master's degree kwenye Mawasiliano ya Umma,

Pia ni nguli wa voice over kwenye matangazo mbalimbali yakiwemo ya kampuni ya simu ya Airtel
wa kuitwa #Godwin_Gondwe (G.G),

Ambaye historia yake inabainisha kuwa alishawahi kuwa muhudumu wa grocery(enzi hizo),
na kuwa mfanya usafi wa vyoo (hospitali ya Bugando huko Mwanza )
kabla ya kuingia kwenye tasnia ya habari
Kuteulia kuwa mkuu wa wilaya ya Handeni, Tanga,

(Ingawa yeye si mwanahabari wa kwanza kuteuliwa nafasi kama hiyo)
Nimeamua KUBETI(kubashiri) kuwa na huyu Kaka'etu mwingine huyu wa ITV wa kipindi cha #DAKIKA_45 huyu wa kuitwa #Sam_Mahela
muda si mrefu anaweza kuja kuwania kitengo fulani nyeti sometime to come.

ANGALIZO:
Hapa mimi NIMEBETI(nimebashiri) kwa mtazamo wangu tu
kama mwananchi wa kawaida,
Bashiri hii wala haiendani na uhalisia au mikakati yoyote.

_____
Kwa mantiki hii
hata huyu kaka'angu #Adam_Mchomvu huyu naye akiamua kukaza
Wakubwa wanaweza 'kumwona' au japo kumfikiria kwenye baadhi ya kada kwa mbaaaaaaaaliiiiiii!!!!!.

NIMEMALIZA!
 
Cv yangu ipo safi kabisa na ninauwezo wa kuongoza, kijana shupavu na msomi, mwenye kudhubutu na kufanya maamuzi magumu pale inabobidi, JPM nipo tayari kukusaidia kazi kwny serikali yako tukufu. Ahsante
 
TANGA
  1. Tanga - Thobias Mwilapwa
  2. Muheza - Mhandisi Mwanaisha Rajab Tumbo
  3. Mkinga - Yona Lucas Maki
  4. Pangani - Zainab Abdallah Issa
  5. Handeni - Godwin Crydon Gondwe
  6. Korogwe - Robert Gabriel
  7. Kilindi - Sauda Salum Mtondoo
  8. Lushoto - Januari Sigareti Lugangika
 
Back
Top Bottom