Maghorofa yaliyopangishwa kwa sh 100/= kwa mwaka na kwa miaka 15

sergey

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
217
55
Toka mwaka 1996-2011

attachment.php



Chanzo: Mwananchi
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    22.9 KB · Views: 2,607
Ninesoma ile habari ni typing error alimaanisha sh. mil 100 kwa mwezi ambapo ukipiga mahesabu toka dec 2011 mpaka sept 2015 ndiyo unapata lile deni. Jiongeze kidogo babu.
 
Hii habari bado haiko sahihi, maghorofa mangapi yana nafasi kiasi gani etc kuweka idadi tu ya pesa na mkopo wa miaka 15 ina maana gani? Ni ya nani? etc. Wengine tupo Alaska ebo!
 
Back
Top Bottom