Magazeti ya udaku na story za kanumba!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu tulio hai, kuliko marehem asiyeweza kukanusha ujinga wenu. ACHENi MAREheMU APUMZIKE KWA AMANI SASA!
 
Sasa umeamua kuwatukana wanawake???????
 
kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu tulio hai, kuliko marehem asiyeweza kukanusha ujinga wenu. ACHENi MAREheMU APUMZIKE KWA AMANI SASA!

Mkuu this is very low. Yaani ni udhalilishaji wa dada zetu. Hebu watake radhi mkuu
 
eti kanumba aonekana cjui wapi, tabata cjui. Bullsht

Stori za kuandika mbona zipo nyingi tu, kuna gharama za nywele za Irene Uwoya kwa mWezi,Tarehe ya Sinta kuona cku zake,idadi za ch**pi za wema sepetu ,nk!
 
Mkuu this is very low. Yaani ni udhalilishaji wa dada zetu. Hebu watake radhi mkuu

Kwani uongo,akina dada ndo wateja wao,kama unavutiwa na gazeti lenye heading kama hizi, utakuwa kichwa maji, 'Hii ndo idadi ya ch**pi za wema' au 'kanumba aonekana tabata akinunua vocha'nk wakati unajua kanumba kafa
 
kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu tulio hai, kuliko marehem asiyeweza kukanusha ujinga wenu. ACHENi MAREheMU APUMZIKE KWA SASA!
pumbavu zako wewe huna mama wala dada,heshima kwa wanawake tafadhali 2cdhalauliane .umeniudhi kwa kweli hivi mama yako mwanaume?ifike mahali utambue thamani ya wanawake cio kuwashusha hadhi kila cku.shame on you..ptuuuuuuuuuuuuu.
 
Kwani uongo,akina dada ndo wateja wao,kama unavutiwa na gazeti lenye heading kama hizi, utakuwa kichwa maji, 'Hii ndo idadi ya ch**pi za wema' au 'kanumba aonekana tabata akinunua vocha'nk wakati unajua kanumba kafa
wewe ndo mdaku namba moja.hivi utajuaje kua gazeti limeandikwa habari fulan kama cio mfuatiliaji?kweli wewe ndo likichwa maji.
 
haya magazeti ya udaku wapuuzi wanajifanya wao wanajua sana stori za the great kumbe uongo mtupu wanajitafutia biashara ya kuendesha kampuni yao.....
 
wapuuzi.com, hta cjui hyo taaluma waliipatia wapi make utakuta headings ni tofauti kbsa na content. kwa kwel wanaidhalilisha taaluma yao
 
wewe ndo mdaku namba moja.hivi utajuaje kua gazeti limeandikwa habari fulan kama cio mfuatiliaji?kweli wewe ndo likichwa maji.

teh teh! Nakutaga house girl angu amenunua,mengine nakuta wadada kazini kwetu wanayo 'nafunua kutaft katuni ninapokuwa sina!
 
mama yako juma kombo au athuman?hovyoo yes wanawake vichwa maji including mama yako hvyo na wewe ni mtoto wa kichwa maji na wewe kichwa maji tu..kwan mtoto wa mbwa anaitwa nan kama sio mbwa?
 
Kwani uongo,akina dada ndo wateja wao,kama unavutiwa na gazeti lenye heading kama hizi, utakuwa kichwa maji, 'Hii ndo idadi ya ch**pi za wema' au 'kanumba aonekana tabata akinunua vocha'nk wakati unajua kanumba kafa
Naunga mkono hoja, kuna ndugu yangu alikuwa hakosi kununuwa haya magazeti kuna siku nikamtolea uvivu nikamueleza ukikaa na watu makini hayo magazeti yako uyafiche yatakuonesha wewe ni mtu wa viwango gani, ila alichonijibu akaniambi yeye akirudi nyumbani bila hayo magazeti ni ugomvi kwa mke wake.
 
baelezeee!
 
Back
Top Bottom