Magazeti ya leo yapambwa na habari za Lissu

tongs

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
539
940
Wakuu mbalimbali,

Nilikua napitapita mtandaoni kuangalia habari za juu kwenye magazeti ya kila siku. Nimegundua kwamba, angalau kila gazeti (ukiondoa ya michezo nk), limepambwa na habari zinazoongelea habari ya Lissu ikiwa ni pamoja na picha yake juu. Magazeti ya aipipii yameungana na magazeti ya Lumumba, wote hawajafanikiwa kusikia habari za Lissu tangu jana.

I can smell something fishy here.
 
Wakuu mbalimbali,
Nilikua napitapita mtandaoni kuangalia habari za juu kwenye magazeti ya kila siku. Nimegundua kwamba, angalau kila gazeti (ukiondoa ya michezo nk), limepambwa na habari zinazoongelea habari ya Lissu ikiwa ni pamoja na picha yake juu. Magazeti ya aipipii yameungana na magazeti ya Lumumba, wote hawajafanikiwa kusikia habari za Lissu tangu jana. I can smell something fishy here.
uoga wa kuonekana kushadidia hilo jambo.
 
Ni mbunge, ana faida kwa wananchi waliomchagua
Ni rais wa TLS, ana faida kwa wanachama wa TLS
Ni mwanasiasa machachari wa upinzani, ana faida kwa wapenda demokrasia wote nchini.
Ana faida kwa taifa mara milioni mia zaidi yako
Lisu hana faida yoyote kwa Taifa zaidi ya usaliti ni kibaraka wa wazungu
 
uoga wa kuonekana kushadidia hilo jambo.
Tangu nimsikie mwenyekiti akisema tuunge mkono juhudi za mkulu, mara nikaanza kumuona bashite kwenye niuz za vyombo vyake, halafu nikaanza kuona habari zinapigwa neutral sana sikuizi nikaona sio bure.
 
Ni mbunge, ana faida kwa wananchi waliomchagua
Ni rais wa TLS, ana faida kwa wanachama wa TLS
Ni mwanasiasa machachari wa upinzani, ana faida kwa wapenda demokrasia wote nchini.
Ana faida kwa taifa mara milioni mia zaidi yako
He is a man, really, not a coward like the rest of us. He stands for all in as far as Tanzanians' rights is concerned.
 
Ni mbunge, ana faida kwa wananchi waliomchagua
Ni rais wa TLS, ana faida kwa wanachama wa TLS
Ni mwanasiasa machachari wa upinzani, ana faida kwa wapenda demokrasia wote nchini.
Ana faida kwa taifa mara milioni mia zaidi yako
Mkuu kumwambia zaidi yake unampendelea Lisu ana faida zaidi ya mwenyekiti wake wa chama pale Lumumba!
 
Back
Top Bottom