Magazeti ya kigeni na uwepo wake nchini kwetu

Unum1_yote

Member
Oct 21, 2023
25
27
Jamani ndugu zangu wa JF hiviii hii imekaaje eti..

Kuna magazeti najua tubakutana nayo sanaaa ya kichina, kikorea, Kachina, mara kihindi hujakaa sawa Kiara kiarabu. Yapo nchini mwetu kwa wingi wa kutisha tu kiasi kwamba wauzaji hawauzi moja moja tena wanauza kwa kilograms na tunafungashiwa sana bidhaa kama maandazi,vitumbua ,sambusa, mihogo n.k

Nadharia ambayo sina uhakika nayo ni kwamba, ni kwa namna gani magazeti haya yanaingia nchini. Je, nayo huja kama bidhaa na yanalipiwa ushuru na kodi kama bidhaa zingine zinavoingia nchini kwetu? Au yanaingia kwa njia zipi na kwa lengo la aina gani labda?

Napenda kujua.

Au sisi tunatumika kama damping area ya used commodities zao?
 
Back
Top Bottom