Magaidi wanne wa Hebollah wauawa na IDF, pia wanajeshi wa Lebanon wapigwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Israel imeshaonya Hezbolla, wakiendelea na uchokozi watasababisha huko walipo pia kufanywe shamba....

Three Lebanese soldiers were lightly injured Friday by Israeli shelling in southern Lebanon, medical sources said, while the Lebanese army reported no casualties in a second attack on a hospital.

Hezbollah also announced the death of four of its fighters on Friday.

"Israeli artillery fire targeted the vicinity of a Lebanese army post in Ras el-Naqura, lightly injuring three soldiers," a medical source told AFP.

An AFP photographer at the scene saw the soldiers lying on stretchers, exhibiting signs of breathing difficulties but with no open wounds.

On Tuesday, two people, including a Lebanese soldier, were killed in Israeli cross-border shelling -- the first among Lebanese army personnel to be killed since the start of almost daily exchanges of fire on the border between Israel and Iran-backed Hezbollah.
 
2006 hesbollah ilikula kichapo na ndio maana mpaka Sasa wanaiogopa Israel na wanafanya vurugu kwa tahadhali kubwa.
Sasa kwanini israhell isizime kabisa hizo vurugu toka kwa Hizbullah
Kama ilivyofavya kwenye vita ya siku sita ya waarabu
Mwaka 2006 israhell waliyacha maeneo kibao walokua wanayakalia ya Lebanon vidume vya Hizbullah vikajibebea kwenye yale mashamba ya shebaaa kule kusini ya Lebanon
 
Hakuna cha hesbollah Wala mwarabu ameshawahi kukomboa hata cm Moja zaidi ya kupoteza kila anapojaribu kuchokoza taifa teule.
Misri akaona yanini kufia kisa ujinga,akasainj mkataba akarudishiwa Sinai kiroho safi,kwa Sasa hataki kusikia hizo habari za kulichokoza taifa teule la Mungu.
 
Hakuna cha hesbollah Wala mwarabu ameshawahi kukomboa hata cm Moja zaidi ya kupoteza kila anapojaribu kuchokoza taifa teule.
Misri akaona yanini kufia kisa ujinga,akasainj mkataba akarudishiwa Sinai kiroho safi.
Sikutukani ila nakufundisha
Uache ujinga ufuatilie majambo usipende kukurupuka
Fuatilia basi hapo ghaza kabla ya 2005 hali ilikuaje na kuanzia 2005 mpaka sasa hali ipoje
Kafatilie kule Lebanon kabla ya 2006 kwenye mashamba ya shebaa kule kusini ya Lebanon hali zilikuaje na baada ya hapo hali zikawaje
Hizbullah kundi teule
 
Back
Top Bottom