Ni ya kupaka
ndugu yoyo hatuwezi kurudi past ila cha msingi ni kuhubiri watu waache kupandikiza mbegu kwenye mboji za binadamu wenzao....
ni mafuta yanayotumika kulainisha sehemu zilizo wazi ili kufanya baadhi ya vipimo vya hospital kupita bila kumdhuru mgonjwa, mafuta haya hutumika pale dr anapotaka mfano kuchunguza uke kwa kutazama ndani kuna kifaa kinaitwa speculum au midomo ya bata ambapo dr hu rubilicate hicho kifaa then kuingiza ukeni,wakati wa vipimo mfano hsg-hysterosalpingogram examination,barium enema examination laryngoscope examination nk nksidhani kama ni moja ya matumizi yake kuzuia magojwa ya STD,ila nachojua kuwa inatumika kama vaginal lubrication hasa kwa wamawake ambayo huwa na upungufu wa ute kutokana na labda wajawekwa tayari kwa game,au katumika sana muda huo,au ana upungufu wa estrogen hormone(inaenda na umri) na mengineo.
Kwa kuwa ni lubricate mabazazi/wachimba choo hutumia pia ktk shughuli zao.
Basi inaweza kutumika ktk namna nyingi hata ukitaka kuweka muonganiko wa Std na msuguano ok ila nadhani kwa
asilimia ndogo sana.
Kivipi mkuu?hahahahahahaa...mkuu umenivunja mbafu sangu!
kama ni bahati.mbaya pole ila Ulinunua ya nini???Leo ningependa tubadilishane uzoefu kuhusu KY Jelly maana imeleta msala kwa jamaa yangu.Ni hivi nilipita phamacy nikanunuwa KY nikapanda gari ya jamaa yangu ile jelly nikaiweka kwenye droo.
Na baada ya masanga mshikaji akanidrop home sikukumbuka mzigo wangu kuuchukuwa, sasa asubuhi mke wake kaikuta kwenye droo maswali yamekuwa mengi sana.
Sasa leo nitakwenda kwao na ningependa nijuwe yeye kwa upeo wake anadhani matumizi yake ni nini? Pia ningependa kujuwa kutoka kwenu mumeo au mkeo akinunuwa KY wewe utawaza nini?
Karibuni kwa mjadala
NB: Watu wenye stress za maisha thread hii haiwafai
Wala usiogope mkuu! We nenda kwenye yale maduka wanayouza hii kitu then nunua..usijishtukie kama unavyofikiria! Ina matumizi mengi!
Kama wewe ulivyo..mada haijakaa vizuri.
Link ya huo uzi mkuu nikausome.tayari my dear kaisome
Mkuu nani dunia hii haijui KY ? na je kila anaejua uwepo wa KY Basi anaitumia au ashawahi itumia ?Kwanini huyo mwanamke anawaka? ukiona hivyo ujue anaijua na matumizi yake anayajua pengine kashawahi kuitumia "aisifiaye mvua imemnyea" haiwezekani akomae hivyo kuulizauliza kama haifahamu kazi yake na kama hajawahi kutumia kama ni mimi kibao kingegeuka