Hivi Mkuu hakuna fundi anayeweza kumodify hiyo mashine ya 75000 akaweka kamota kadogo kakuendesha?
Kama kuna mtu namjua fundi anayeweza kufanya hicho kitu anijuze tafadhali
Mkuu kama uko Dar basi nenda SIDO karibia Jet. Kuna mtu anafanya hii kazi pale.