Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mpaka sasa wa Mujibu wamesatoka baadhi ya kambi,Niko Musoma (My Home Town) kwa Sasa.
Mdogo wangu kaingia Jana usiku kutoka kambi ya Kanembwa .
So tuwe wavumilivu tu tutasepa .
 
Akuuu waka sijasema hivyo
Ukweli mabomba yapo

Liko la gas kutoka kusini hadi bagamoyo

Liko lile kutoka uganda kupitia tanga

Hehehehe uzuri unajua mabomba huwa hayahami
Hahaha hicho kibogi cha wazee wa suti baba sisi wakati wanakuwa wazee hao walisemaga wanatafuta walinzi wa kampuni mpya ya ulinzi kumbe wazee wa suti hahaha acha madogo wakale shavu
 
hiyo ni sawa na ajira acha ukichwa mavi maana utalipwa posho serikali itakugharamia chakula kila cku hivyo lazima uwepo uhusiano wa pesa za kutosha
We kweli popopo. Hujui ata kufananisha kujitolea na kuajiliwa. Kama chakula ata wafungwa wanalishwa na serikali wameajiliwa wale?? Pumba kabisaaa....
 
We kweli popopo. Hujui ata kufananisha kujitolea na kuajiliwa. Kama chakula ata wafungwa wanalishwa na serikali wameajiliwa wale?? Pumba kabisaaa....
wewe fala k ww wazi mfungwa analipwa posho??? usijione mjuaji wakati ndoo unaanza sisi tumepita huku miaka nenda rudi
 
We kweli popopo. Hujui ata kufananisha kujitolea na kuajiliwa. Kama chakula ata wafungwa wanalishwa na serikali wameajiliwa wale?? Pumba kabisaaa....
kama unafikri siyo utaratibu wa hela kilicho wachelewesha mlipoti nini huku usaili umeisha ??tumia akili hapa haihitaji degree wala form four kujudge jiongeze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom