Mafungufu ya Mchakato wa Katiba Mpya Sera ya Uchumi endeleve imetupwa

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Nilikuwa nikuatilia kwa umakini sijakutana na maeneo yanayoongelea sera ya uchumi wa taifa kwa ujumla badala yake wameyapa nguvu zaidi sera za kisiasa wakati ili uwe na siasa safi na uongozi bora ni lazima uwe na uchumi ulioimarika, mfano wananchi kwa ujumla hasa wakulima wadogo wametupwa nje kwa kuwa kilimo chao kinategemea sana wajariwa ya mabadiriko ya nyakati, hakuna sehemu kuwa wakulima hawa wakikumbwa na zoruba la ukame, mvua kubwa , wadudu waharibifu magonjwa mbali mbali ya mbegu kudumaa, watu hawa hawana ruzuku wala insuarance, hivyo kamaamechukua mkopo ataishia kuuziwa vitu na mabenki bila kujari kuwa amepatwa na majanga yasiyozuirika, hakuna sera ya uchumi kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi kupanda vitu bila mipaka ambavyo vijana waliojiari wanapata shida sana wanapokwama kimikopo kufutana na mdororo wa kiuchumi badala yake makampuni makubwa ndio wanaonekana walipata hasara wakat hasara inatuhusu wote.
 
Back
Top Bottom