1. Serikali ya viwanda..
2. Kila kijiji kitapatiwa mil. 50
3. Kila mwalimu atapatiwa laptop
Magufuri = MagufuliTanzania ni nchi iliyopita katika uchaguzi mwaka Jana, pia Marekani watakuwa na uchaguzi mwaka huu, chama tawala CCM kilimsimamisha mgombea ambaye ana sifa baadhi zinazofanana na za mgombea wa Marekani.
1. Wanausema ukweli hawajali kama ukweli uo unaweza punguza idadi ya kura zao, mfano Magufuli amekuwa akiendelea kutoa kauli kali bila kujari kama hawa watampigia kura tena baadae.
2. Magufuli kajitoa kufia nchi yake kama ambavyo Trump kajitoa kuwasaidia wamarekani na kuifanya America kuwa na jina kubwa tens.
3. Maamuzi na maono yao yanafanana kwa mbali, mfano Magufuli yuko tayari kuwabomoa wanaomkwamisha kuleta maendeleo ya wananchi, na misimamo yake watu legelege wanaweza kuichukia, vile vile Trump ana mtazamo kama Magufuli kwa wanaoonekana kukwamisha maendeleo ya wamarekani.
TOFAUTI ZAO
1. Magufuli siyo dictator kama ambavyo anaonekana Trump atakuwa dictator.
2. Magufuli ana elimu kubwa kulinganisha na Trump.
3. Magufuli si mfanyabiashara kama Trump.
4. Magufuli ni mjamaa na maskini si kama Trump ni mbepari na tajiri.
ishashukaga mwezi umshushie heahima ?sukari ni nn kwani?ni kweli,ila sukari imemshushia heshima
Hiyo namba 3 hebu naomba uoanishe elimu zao hapa ndipo tuendelee...post: 16380105 said:TOFAUTI ZAO:
1. Magufuli siyo dictator kama ambavyo anaonekana Trump atakuwa dictator.
[COLOR=yellow.]2. Magufuli ana elimu kubwa kulinganisha na Trump.[/COLOR]
3. Magufuli si mfanyabiashara kama Trump.
4. Magufuli ni mjamaa na maskini si kama Trump ni mbepari na tajiri.
TOFAUTI ZAO
1. Magufuli siyo dictator kama ambavyo anaonekana Trump atakuwa dictator.
2. Magufuli ana elimu kubwa kulinganisha na Trump.
3. Magufuli si mfanyabiashara kama Trump.
4. Magufuli ni mjamaa na maskini si kama Trump ni mbepari na tajiri.
britanicca
Hiyo namba 3 hebu naomba uoanishe elimu zao hapa ndipo tuendelee...
rais anatekeleza majukumu yake, hakuna lililo la ajabu,Mi si mpenzi wa CCM na ninatamani sana mageuzi makubwa ya kimfumo kwenye siasa za nchi yetu hasa Katiba mpya. Hata hivyo baada ya Katiba ya Warioba kuwekwa pembeni sikuwahi kufikiria tena kama nitakuja kumwona kiongozi wa watu sembuse Katiba mpya inayokubalika kwa makundi yote ya kisiasa. Ila zawadi tuliyopata ya Rais J.P. Magufuli ni wazi hakuna aliyetarajia kutoka kwake kwa yote anayoyafanya. Kwa msomi wa kweli wa Sayansi ya Siasa, atakubali kuwa kitendo cha Rais Magufuli kutokubaliana na Chama chake katika baadhi ya mambo likiwemo la uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar, ni wazi ndicho kitu muhimu sana kumpima Rais huyo. Tumpime Rais wetu kwa mipango yake na lengo (intention) ya ke anachokifanya na si kukimbilia kuangalia kaishu kamoja na kuconclude bila kutumia syllogism. Hutapata Rais anayejiamini katika Bara la Afrika kama siyo benevolent. Kwa nchi yetu tulipokuwa tumefikia, ni bora kuwa na benevolent dictator than otherwise.
Basi akamfukuze Na mtoto wake aliyefoji kuingia udomrais anatekeleza majukumu yake, hakuna lililo la ajabu,
Ni kweli anatekeleza wajibu wake lakini jinsi watu wanavyomshambulia hawafanyi fair kabisa. Kwani sisi kama Taifa, the issue of the day ni nini lakini - maadili ama lugha nzuri ya kuwafurahisha wakwepa kodi ili wasitupandishie bidhaa muhimu kama sukari? Ngoja watatuchaka sana wenzetu tunaposhindwa kumtia moyo Rais wa aina ya Magufuli ambaye anawaumiza vichwa mafisadi walio ndani ya Chama chake. Tutagutuka wakati it is 2 late.rais anatekeleza majukumu yake, hakuna lililo la ajabu,