Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

.....well tuwape benefit of doubt...ndio kwanza wameanza mwaka jana.....na Omri Issa alikuwa peke yake.....mpaka late last year akaanza kupata Wakurugenzi.....i mean the whole PDB unit is not fully resourced......tusim-judge kwa sasa.....

...kinachoudhi ni kwamba kuna mijitu kama akina Kawambwa....imechakachukua mifumo ya elimu just ili waonekane wanafanya kazi.....wakati in reality ni uozo......kuna watu wamefanya research i.e. PhD ambazo ni very questionable......jaribu kufuatilia.....ni jinsi gani walivyo-arrive kwenye suala zima la aina ya maswali ya mitihani....halafu soma PhD document ya Bi Ndalichako.....halafu angalia utekelezaji wake.....

Assuming ulikuwa unaridhika na utendaji wa Ndalichako; naomba maoni yako leo hii.
 
Back
Top Bottom