Maelfu Wampokea Sugu, Wamwita Mfalme

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Mbunge Sugu ametishia uhai wa CCM huko Kiwira alipoenda kumpigia kampeni mgombea udiwani wa Chadema. Watu kwa maelfu walimpokea na kumshangia mfalme, mfalme. Sugu ameapa kuwa CCM haitapata hata jimbo moja Mbeya 2015. Source. Mwananchi uk 14
 
A Form Four leaver...
Once a drug dealer...
Who committed countless crimes..
Accidentally became an MP......
How on earth.......
Is he hailed as a KING?
Perhaps the word king.....
Has many denotations.......

Sugu amepata UBUNGE kwa KUPIGIWA KURA na raia weelevu na wasioweelevu na ndio demokrasia - WENGI WAPE ama na subiri uchaguzi ujao.
 
A Form Four leaver...
Once a drug dealer...
Who committed countless crimes..
Accidentally became an MP......
How on earth.......
Is he hailed as a KING?
Perhaps the word king.....
Has many denotations.......

Radhia Sugu is a psycopathy, anafurahisha watu wa vijiweni tu na wala hayuko makini na maendeleo ya jimbo lake. Najua CDM mkoa wana andaa mtu mwingine kwa vile ukiongea na watu makini hapa Mbeya wana regret kwa hasira zao walizompigia kura za chuki mbunge wa zamani kutoka CCM Mpesya.
 
Radhia Sugu is a psycopathy, anafurahisha watu wa vijiweni tu na wala hayuko makini na maendeleo ya jimbo lake. Najua CDM mkoa wana andaa mtu mwingine kwa vile ukiongea na watu makini hapa Mbeya wana regret kwa hasira zao walizompigia kura za chuki mbunge wa zamani kutoka CCM Mpesya.
Watu makini ndo wepi hao? mbona hatukuwaona wakati wa vita ya wanambeya na polisi pale Mwanjelwa. Mpesya alifanya nini mpaka hao watu wako makini (kama wapo) wajute. kwa nini hawakumwita kwenye vile vita? alikuwa wapi, hata sura yake hatukuiona.
 
Wanakuita sugu, wanakuita sugu ,sugu,sugu suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Viva Sugu mwanzo mwisho mpaka kieleweke, in every successfully there is an history, behind Barrack obama aliwahi kukiri kwamba alishavuta sana bangi enzi za ujana wake na leo ni Raisi wa America. Sugu moto chini
 
Back
Top Bottom