Maelfu wakimbia Ivory Coast wakihofia machafuko baada ya Uchaguzi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limesema wananchi 3,600 wamekimbia nchini humo kutokana na hofu ya kutokea machafuko baada ya Uchaguzi Mkuu

UNHCR imesema idadi iliongezeka mara baada ya mchakato wa upigaji kura uliofanyika Oktoba 31 ambapo Rais Alassane Ouattara aliyewania kwa muhula wa tatu alitangazwa mshindi

Shirika hilo linasema Liberia ambayo inaimarika kutoka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe haina uwezo wa kupokea wakimbizi

====

The UN's refugee agency (UNHCR) says 3,600 people have fled into Liberia from Ivory Coast fearing post-election violence.

The UNHCR said numbers had surged following the 31 October presidential poll.

Final results issued on Monday gave the incumbent Alassane Ouattara, who ran for a controversial third term, more than 94% of the vote.

That victory has been confirmed by the constitutional court.

The UN says Liberia, which is still recovering from a series of civil wars, is not economically capable of hosting the refugees.

Ivorian opposition leaders are facing criminal charges after denouncing the poll and setting up a rival administration.
 
Back
Top Bottom