utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321

! Nawakilisha!

Unawakilisha nini:
1. Magamba?
2. Familia?
3. Mafisadi?
4. Upupu?
5.
6.

! Nawakilisha!

UZOEFU CCM

*Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa TANU (TYL) tawi la Itumba (1971-1972)

*Mjumbe wa Kamati ya Siasa na Halmashauri Kuu ya Tawi la CCM, Madini (1983-1992).

*Mjumbe wa Mkutno Mkuu wa Wilaya na mkoa wa Dodoma (1983-1992).

*Katibu wa Tawi la CCM, Madini Dodoma (1988-2011).

*Kada wa CCM (1988-2011).

Nilini watumishi wa serikali walirudi kuwa makada wa chama?

Hivi hatuna tena suala la mtumishi wa umma kuwa neutral?

TUMEKWISHENI!!!!!

Mimi Dr kafumu naomba unisaidie kumention shule/ vyuo ulivyosomea kwani kuandika shahada, stashahada, mara uzamili bila kusema ulisomea wapi hiyo sio CV labda ni story kuhusu wewe. Lingine pengine mimi sifahamu uzuri kati ya advance diploma na post graduate diploma zote kwa kiswahili tunaziita Stashahada?
Duh mkuu Kafumu umetishaje, yaani kwa CV hiyo unapata kura kiulainiii kama unanawaaa. Sasa ngoja tuone CV ya mgombea wa MAGWANDA, yaani haifiki hata robo ya ukurasa.

Siamini baada ya miaka 50 ya uhuru kama kutakuwa na watu wenye fikra mbovu kama hii CV hii inajenga au inabomoa taifa,amegundua machimbo mengi ya madini lakini huoni hayo kuwa madini sasa yanachimbwa na wageni? bora asingegundua ili watoto wafaidi.Duh mkuu Kafumu umetishaje, yaani kwa CV hiyo unapata kura kiulainiii kama unanawaaa. Sasa ngoja tuone CV ya mgombea wa MAGWANDA, yaani haifiki hata robo ya ukurasa.

Nimesimamia marekebisho ya sheria ya Madini ya mwaka 1998 ili kupata sheria ya mwaka 2010. Sheria mpya inahakikisha kwamba:-

(i) Serikali na Wananchi wanashiriki zaidi katika uwekezaji madini kwa kupata hisa kwenye migodi.

(ii) Wananchi wanaoishi kwenye maeneo ya migodi wanafidiwa vizuri, kujengewa makazi mazuri na kushiriki kwenye mradi husika.

(iii) Kampuni kulipa kodi na mrahaba kwa viwango vya juu zaidi.

(iv) Wachimbaji wadogo wanatengewa maeneo yao, kupewa leseni zenye muda mrefu ili waweze kupata mitaji kutoka kwenye taasisi za fedha;na

(v) Viwanda vya uongezaji thamani ya madini vinajengwa hapa nchini ili kuongeza ajira na kukuza uchuni; na

(vi)Madini ya vito (Almasi, Tanzanite, Ruby na mengineyo) yanachimbwa na Watanzania tu.

Maelezo matamu kweli. Kama hivi ingekuwa ndivyo ilivyo, basi watu wetu wasingekuwa maskini kiasi hicho. Na nchi yetu ingekuwa imeendlea sana kupitia madini tuliyojaliwa na Mwenyezi Mungu. But I dare say, the red quotes do not exist in this blessed but corrupt country.
Huu ni wasifu wa Dr Kafumu. Hapo kwenye red panatia shaka kwa mustakabali wa wana Igunga ambao sio waislamu
JINA: Dk. Dalaly Peter Kafumu
KUZALIWA: Agosti 4, 1957
MAHALI: Kijiji cha Itumba, Tarafa ya Igunga Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
NDOA: Nina mke na watoto watano ambao kati yao watatu ni Madaktari wa binadamu, wengine wawili bado wanasomea Udaktari wa Binadamu na mmoja anasoma Stashahada ya Ufamasia.
ELIMU:
*Shahada ya kwanza ya Madini- BSc (Geology)-1983
*Stashahada ya Elimu-PGD (Education)-1987
*Shahada ya Uzamili ya Madini-BSc (Geology)-1995
*Stashahada ya Utafutaji Madini-PGD (Mineral Exploration)-1991
* Sahahada ya Uzamivu ya Madini-Ph.D (Geology)-2000
UZOEFU CCM
*Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa TANU (TYL) tawi la Itumba (1971-1972)
*Mjumbe wa Kamati ya Siasa na Halmashauri Kuu ya Tawi la CCM, Madini (1983-1992).
*Mjumbe wa Mkutno Mkuu wa Wilaya na mkoa wa Dodoma (1983-1992).
*Katibu wa Tawi la CCM, Madini Dodoma (1988-2011).
*Kada wa CCM (1988-2011).
Duh mkuu Kafumu umetishaje, yaani kwa CV hiyo unapata kura kiulainiii kama unanawaaa. Sasa ngoja tuone CV ya mgombea wa MAGWANDA, yaani haifiki hata robo ya ukurasa.
Au anapigiwa chabo ya kuchukua nafasi ya huyu wa sasa anayeongoza hii wizara inayotulaza giza kila siku? CV kwa kweli ina heshima yake, tatizo naliona ni chama anachokitumikia.
Kama CV ina-matter basi Prof Lipumba leo hii angekuwa Rais wa Tanzania, maana 10% ya CV yake ndiyo aliyonayo JK. Kwa kushinda uchaguzi, Kafumu hatashinda ila ubunge atapewa. Hii imezoeleka but sooner or later this corrupt practice will end.