fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 13,072
- 22,879
Kama heading inavyosema kununua bidhaa kwenye duka la mbongo msawahili kabsa mweusi tiiiiiiiiii ni shida sana atajifamya kukupa guarantee ya mwaka au miaka 2 au miezi sita halafu bidhaa ikileta chanagamoto aisee wanaruka hawataki kabsa kukurekebishia au kukupa fundi wao bora kununua vitu kwa wahindi na waarabu ata wazungu.
Wazee niliwahi kununua simu kwa mwarabu aisee nmerud baada ya mwaka na jamaa wakanirekebishia ikazngua tena wakarekebisha tena ila kwa wabongo nishaenda mara 2 lakini wanaruka wanakwambia ushatumia sjui maneno blaa blaa kibao hawajui biashara wazee bora kumsapoti watu weupe hawa wenzetu ujanja mwimgi halafu amna kitu wengine tupo nao humu mjifunze biashara aisee kwan maana ya guarantee ni nn...?
Mfno nmenunua simu nmetumia miezi 4 ghfla hiingiz chaji s natakiwa nkuletee unirekebshie guarantee inafnya kazi au kama kuna malipo madpgo nitayafanya tu ila mbongo anakataa kabsa anadai umeshatumia sasa guarantee maana yake n nn