Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

18387_756331937811116_7463478862746658554_n.png

Ama kweli disko la Lumumba limeingia mmasaai tena Laigwanani
 
Gaddafi alikuwa anasaidia Uganda those kind of interest change lakini principles do not change easily. Uwezi kusema mtu mwizi afai, hila kwa sababu anakuletea mavuno basi ubadili msimamo wako kuhusu mwizi huyu.

Kuna tofauti kubwa sana ya uhasama wa mengi na rostam ambao umegubikwa na personal interests ambazo zinaweza badilika anytime si ajabu wakawa marafiki anytime depending on the mutual situation kwa maslahi yao.

Alikadhalika kuna tofauti kubwa sana ya principles za kanisa au msikiti kupinga sadaka ya hela ya wauza unga ata kama zingesaidia kwa sababu ya chanzo chenyewe. Sasa wewe umewaaminisha watu kwamba huyu mtu hafai kwa maendeleo yenu, anaona watu wengine wanathamani kushinda wengine, amechukua kingi na kuwafanya wengi wapate tabu kwa mdomo wako, leo tena hizo principles zimebadilika bila ya kumsafisha huyo mtu kwanza.

Bila ya CDM kutuambia Lowassa ni msafi kama wanaamini hivyo wanakosa moral authority ya kile wanachokisema.
Nilichofanya mie ni kutolea mfano wa mabadiliko ya kauli katika siasa. Lakini kumbuka kwamba mpaka sasa hakuna kauli rasmi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo iliyotolewa officially kuhusu Lowasa, hayo mengi yasemwayo yanatoka kwa watu Individually. Tungesubiri kauli ya chama ndio tuwahukumu.
 
nchi hii inamikoa zaidi ya 30 na maeneo mengi sana wanadhibiti ccm sasa munduli moja kitu gani wahame tuuuuuuu!
 
Kama Movie vile duh kweli mambo yanageuka juzi juzi Monduli ilikuwa ngome Imara ya CCM, walikuwa na uhakika wa kura, leo wameshikwa pabaya. Go go CHADEMA GO!!!!
 
nchi hii inamikoa zaidi ya 30 na maeneo mengi sana wanadhibiti ccm sasa munduli moja kitu gani wahame tuuuuuuu!

MDA HUU MADIWANI 16 WA CCM WAHAMIA cdm huko Simiyu acha wale 10 wa jana- ina maana kila siku madiwani 35 fanya kwa miezi mitatu-ondoa Pwani na Tanga tu huko ndio kwa wana taarabu
 
Waondoke tu kwa walipo ingia walitutangazia.
Ccm sio luwasa wala membe ccm ni katiba .
Ningeshangaa pindi vikao vya ccm vingemteuwa luwasa.
Hatuwezi kuwa na chama kinacho ruhusu vitisho vya mwanachama.
 
siasa nazo zinachosha wakati mwingine, Mara huyu kakatwa, Mara huyu kahamia chadema, Mara huyu kahamia Act, Mara huyu kahamia Ccm, Mara huyu kasema kateni jina langu la ubunge muone . tungekuwa tunatumia muda mwingi kwenye maendeleo kama siasa uchwara tungekuwa mbali sana.
 
Nilichofanya mie ni kutolea mfano wa mabadiliko ya kauli katika siasa. Lakini kumbuka kwamba mpaka sasa hakuna kauli rasmi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo iliyotolewa officially kuhusu Lowasa, hayo mengi yasemwayo yanatoka kwa watu Individually. Tungesubiri kauli ya chama ndio tuwahukumu.
Mkuu ujaona hiyo video https://m.youtube.com/watch?v=2Pqi7EKVEPM ya lema hapo juu akisema anamsubiri Lowassa aende CDM jamaa awana maadili kabisa na awasimami lolote na if you dont stand for something you will fall for anything hii ni aibu kwa CDM kuwapokea wafuasi wa Lowassa principally against their usual vocal ideology ambayo ilikuwa ya uongo kumbe kuhusu watu waliokuwa wakisema wana mpango wakuwafungulia mashtaka.

Well mwisho wa siku ni maamuzi yao hila next time itakuwa vigumu sana kuwaamini awa watu what next wasije wakasema wanakubaliana na sera za uliberari pia kisa misaada ya chama isikatwe na wazungu huko mbeleni.

Vunja yote lakini si kile unachosimamia vinginevyo unakuwa product isiyo na uhakika kwenye jamii anyway nawatakia uchaguzi mwema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom