Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

Tatizo wasanii wa TZ wengi vichwa box, sio wabeba maono, hawana vission.
 
Huwezi zuia mafuriko kama haya kwa mikono,ni bora kudandia mapema mchuma unaondoka ucje juta umeachwa!.
 
picha tafadhal wafuatiliaji ni wengi

attachment.php
 
Madiwani wote wa CCM toka Halmashauri ya Meru Mkoani Arusha wote wamehamia CHADEMA

Mbuyu unapondeka kwakakasi sana CCM kwishenei kwishenei.

Muda huu Madiwani hao wamehamia CHADEMA

Cc. mmaranguorigional
 
Madiwani wote wa CCM toka Halmashauri ya Meru Mkoani Arusha wote wamehamia CHADEMA

Mbuyu unapondeka kwakakasi sana CCM kwishenei kwishenei.

Muda huu Madiwani hao wamehamia CHADEMA
Hakika sasa hakuna ubishi tena kuwa mnara wa babeli unazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha!

Ni hakika pia kuwa huwezi kuzuia mafuriko kwa viganja vya mikono.

Ni hakika pia kuwa hivi sasa Sisiemu inapumulia 'mashine za oxygen' kuwafanya angalau wasogeze sogeze kidogo siku za uhai wao.

Siku ambayo jopo la madaktari [vyombo vya dola] watakapofanya maamuzi magumu ya kuzima 'mitambo' hiyo ya oxygen, ndiyo siku hiyo hiyo itakuwa mwisho wa uhai wa Sisiemu.
 
Mwenyekiti wa chama yuko bize kucheza miziki na wasanii wenzie
Na umesahau kusema kuwa 'aliwakuna' wasanii hao alipowaambia kuwa ingetokea tu bahati mbaya angeukosa Upresidaa, basi angekuwa mwimbaji mzuri sana wa bongo flava na hasa hasa ange-specialize kufanya 'kolabo' na Diamond na Ali Kiba.
 
Haya mafuriko ya bwana mamvi nimeyavulia kofia.
Vile vile alishawaambia hao maccm kuwa kutokana na 'strategies' zao za kutaka kuzuia mafuriko hayo kwa viganja vyao vya mikono, watakesha usiku na mchana lakini hawatakuwa na ubavu wa kuyazuia mafuriko hayo.
 
Ndoroooooooooooooooooooooobo hawa CCM, wametunyonya vya kutosha
 
Anakuambia kamisi dance anataman mda uishe akacheze rumba.
Kumbe ndiyo maana TZ kwa awamu yake yote ya miaka 10 nchi yetu haikupiga hatua yoyote ya maendeleo?

Hata hivyo ndiyo jana 'katufunulia' siri kuwa kumbe waTz tulifanya 'wrong choice' kwenye box la kura mwaka 2005 na 2010 kwa kumchagua Presidaa ambaye kumbe taaluma yake kubwa ni sanaa ya bongo flava!
 
hawa madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni kwenye chama chao cha zaman walishiriki? na je walipita au walikatwa?
 
Madiwani wa wa ccm halmashauri ya Meru wajiunga
CHADEMA leo.
Wamepokelewa na kukabidhiwa kadi na Mbunge wa
Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari wilayani
Aruneru leo.
Madiwani hao na kata zao ni 1. Loth Nnko (kata ya Maji ya Chai)
2. Godfrey Kishongo Mbisse (Nkoaranga)
3. Abraham Kaaya (Maroroni)
4. Mwanaidi Kimu (Makiba)
 
Back
Top Bottom