Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Somebody tell us madhara ya hiki kipimo. Ila nasikia kinaua seli mwilini na kupunguza muda wa kuishi. Nimefanya kipimo hiki several times na ningependa kujua nitarudishaje seli na afya yangu
kiwango cha mionzi inayotoka ktk vipimo vya eksrei (diagnostic x-ray imaging) ni salama na kinaweza kulingana au kuwa ni kidogo kuliko mionzi tunayoipata kutoka ktk mazingira,ardhi, jua, vyakula (background radiation) ambayo ni uranium, radium na thorium n.k, viwango vinategemea na jiografia ya mahali unapoishi, vyakula, usawa toka bahari na hata aina ya nyumba. Ukweli ni kuwa uko katika hatari ya kufa au kudhurika kutokana na ugonjwa unaochunguzwa kwa x-ray kuliko madhara ya mionzi yenyewe.
Bora umepunguza hofu za watu kiaina. Ila una maoni gani kuhusu x-ray, mkuu
wanasema kuanzia mara 12 na kuendelea ndio kunaweza kuwa na madhara zaidi.
hata hivyo - uchunguzi wa x-ray kwa wanawake wajawazito una madhara kwa 'fetus' na haushauriwi unless ni lazima sana.
Bora umepunguza hofu za watu kiaina. Ila una maoni gani kuhusu x-ray, mkuu
Source: Personal communication with a radiologist."Kuanzia mara 12", tusaidie source tafadhali,
Source: Personal communication with a radiologist.
Snr expert,Umejitahidi sana, that's a good referrence for public consuption!