Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

nimeipenda hiyo..ikipunga upepo ndio inapata mda wa kuzalisha manii kwasababu ili manii zizalishwe inahitaji temp 20 nyuzi.
 
Nyie ndo mnaowapaga mifadhaiko wageni..acheni kutega watu...nwei why huvai?? Inakughasi??

nikivaa na suruali naona kama nimevaa suruali tupu, nina mwaka wa 15 cjawah, labda iwe ipo loose kama kaptula. ukivaa sana inayobana ni tatizo
 
Namshangaa mwanaume ane vaa chupi!!!! Acheni kuvaa chupi, bora kaptura kuliko chupi... Chupi????
 
Jamani Tafiti Zinaonyesha Kuwa Kuvaa Boxer Au Chupi Kwa Wanaume Kuna Madhara Sana. nguo izo kwa sbb zinabana na penis inapocmama inashindwa kucmama vzr ivyo kufanya mishipa yake ambayo ni laini sana kujikunja hali inayoweza kupelekea hata kushindwa kusababisha ujauzito. tunashauriwa kuvaa kama ni boxer yenye nafasi au kaptula.
chanzo: ufunuo wangu...

Kwa mwanaume unashauri kuvaa pajama au pensi inayopwaya, siyo maboxer.
 
heading ya ukweli lakini content sio ukweli. .. madhara yapo lakini sio hayo ya unayoyasema mkuu.
 
We ni mmoja ya wapemba wasiotaka kuvuaa chupi au boxer kwa imani hizo hizo...
 
Back
Top Bottom