Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,783
- 819
unaweza kwenda kwenye link
Mwanzo | maajabu ya maji
Mwanzo | maajabu ya maji
Yanapunguza sana nguvu za kiume.Endelea kuyanywa uone kama hujawa boflo
Bibie charminglady Mwanamke hawezi kuwa na Nguvu za Kiume Mwanamke anaweza kuwa na Nguvu za Kike tu.mzee wa vijisent,hv mwanamke anaweza kuwa na nguvu za kiume?
Yanapunguza sana nguvu za kiume.Endelea kuyanywa uone kama hujawa boflo
wadau asante sana, waswas wangu ni kwamba kuna mama m1 ananambia kuwa napungua kwa kasi.kwamba hayo maji yanayeyusha mafuta so nakosa mafuta mwilini. je ni kweli kupungua uzito/mwili kwa kasi ni shaur ya majimoto?
Hawa madaktari wa mitaani bana, anyway sijui sana, mie nakunywa maji ya moto kama wewe ulivyojieleza hapo juu, tena sometimes nachanganya na asali lakini nadhani unanijua mamamngu ndio hata kupungua sipungui na nimeshazoea kiasi kwamba siku hizi siwezi kunywa maji ya baridi
Helo wanajamvi wenzangu!
Naomba kusaidiwa, ni kwa muda mrefu nimekuwa nikinywa maji ya moto asubuhi saa 2 hunywa glass ya maji moto ila sio ya kuunguza ni ya moto yanayoweza kunyweka yani ni kama umepooza chai alafu ukanywa kwa mara moja.
There after huwa naweka maji moto kabisa kwenye glass na yakipoa kidogo huwa nakunywa kidogo kidogo na huwa naongeza kila yanapoisha asubuhi mpaka jioni.
Je naweza pata madhara yoyote kwasababu kuna mtu kanambia kuwa yanayeyusha mafuta mwilini ila mimi sio mnene na wala sihitaji kupunguza uzito ni mazoea.
Yafaa yawekwe na ndimu ndio dawa ya kuondoa mawe kwenye figo.Maji ya moto ni vizuri kuyanywa lakini inadaiwa kuyanywa asubuhi kabla ya kutia chochote kinywani kuna faida kubwa kwani husafisha mwili na kuyeyusha mafuta ndani ya figo ambayo baadaye yanaweza kuwa vijiwe na kuleta athari kubwa kwenye figo.
Yafaa yawekwe na ndimu ndio dawa ya kuondoa mawe kwenye figo.
Yafaa yawekwe na ndimu ndio dawa ya kuondoa mawe kwenye figo.
Kama huna hoja ya maana hufai kuwa humu ,nenda kwa wenzio facebook uko uku no pumba pumbaYanapunguza sana nguvu za kiume.Endelea kuyanywa uone kama hujawa boflo