Mademu, msaada inakuwa nongwa?

ldd

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
790
128
Aslamu aleko jf, ivi kwann mademu ukikutana nae wakati yupo kwenye tight environment na ukampa msaada na yeye haamin km umemsaidia kibinadamu anataka abaki au ubaki na 4n namba 4 further communication! mfano jana nmekuta kundi la wa2 tofauti kituo cha daladala nkabeba hapo watu 6 kwa lengo lakuwasogeza, but mwshon nkabaki na du mmoja, akafika kituo anachoshuka, yaani kama anataka kuniachia kitu fulani au km anasita kushuka!???
 
Ashaona dezo,
Akikwama next time anakutwangia tu mfadhili wake.
Na kwa jinsi tunavyopenda sifa kwa mademu hata kama hatupiti njia hiyo tutapita tu tukawape lift.
Ushauri wangu,
Pendelea kuwabeba wanaume ambao angalau hata ukipata pancha wanaweza kukusaidia kupiga jeki na kufungua tairi,
Mademu ukipata pancha anashuka na kuomba lift ingine na kukuacha na mkweche wako bila msaada!!
 
cyo wote lakini, na safari moja huanzisha nyingine. na siku hizi kutoa msaada ni ngumu especial kwa mtu usimyemjua. na hyo further communication alitaka labda muwe tu marafiki wakawaida kutokana na moyo uliouonyesha wa kiungwana. wanaume nyie si mnapenda kupotezea sana ndo mana wale walipotezea awakuona umuhimu wa wew kutoa ule msaada. ni maoni tu
 
Hiyo si kweli kabisa, na labda ni huyo mmoja uliyekutana naye. Msipende kugeneralize, mbona wapo wanaume wengi tuu ambao hutoa lifti halafu mwisho wa safari wakaomba namba za simu? Au kwa vile sie wadada hatufunguki kiivyo ndo maana ukikutana na mmoja wa aina hiyo unaamua kutugroup wote kwenye category hiyo? Kuweni waungwana
 
Utakua umemuelewa vibaya huyo dada,kwani nauli ya dala dala ndio kitu kukubwa sanaaaa?

Haaapo sasa!!..Na sio kwamba huyo dada kamuomba lift,yeye mwenyewe kaleta usamaria wema...kwahiyo hata asingejitokeza yeye, bado basi angepanda na angefika anakoenda....labda kama ulianza kumtaman flan na hutaki kutuweka wazi..:eyebrows:
 
Ashaona dezo,
Akikwama next time anakutwangia tu mfadhili wake.
Na kwa jinsi tunavyopenda sifa kwa mademu hata kama hatupiti njia hiyo tutapita tu tukawape lift.
Ushauri wangu,
Pendelea kuwabeba wanaume ambao angalau hata ukipata pancha wanaweza kukusaidia kupiga jeki na kufungua tairi,
Mademu ukipata pancha anashuka na kuomba lift ingine na kukuacha na mkweche wako bila msaada!!

Ushauri bora kabisa wa kufungia mwaka.
 
Pendelea kuwabeba wanaume ambao angalau hata ukipata pancha wanaweza kukusaidia kupiga jeki na kufungua tairi.

Hapa mkuu umemaliza kila kitu!
 
Aslamu aleko jf, ivi kwann mademu ukikutana nae wakati yupo kwenye tight environment na ukampa msaada na yeye haamin km umemsaidia kibinadamu anataka abaki au ubaki na 4n namba 4 further communication! mfano jana nmekuta kundi la wa2 tofauti kituo cha daladala nkabeba hapo watu 6 kwa lengo lakuwasogeza, but mwshon nkabaki na du mmoja, akafika kituo anachoshuka, yaani kama anataka kuniachia kitu fulani au km anasita kushuka!???

Hayo ni mawazo yako tu babu mwenzio hata hakuwa na hata wazo la kukuachia chochote
 
Aslamu aleko jf, ivi kwann mademu ukikutana nae wakati yupo kwenye tight environment na ukampa msaada na yeye haamin km umemsaidia kibinadamu anataka abaki au ubaki na 4n namba 4 further communication! mfano jana nmekuta kundi la wa2 tofauti kituo cha daladala nkabeba hapo watu 6 kwa lengo lakuwasogeza, but mwshon nkabaki na du mmoja, akafika kituo anachoshuka, yaani kama anataka kuniachia kitu fulani au km anasita kushuka!???

Hayo ni mawazo yako tu babu mwenzio hata hakuwa na hata wazo la kukuachia chochote ni wewe tu na fikra zako
 
Ashaona dezo,
Akikwama next time anakutwangia tu mfadhili wake.
Na kwa jinsi tunavyopenda sifa kwa mademu hata kama hatupiti njia hiyo tutapita tu tukawape lift.
Ushauri wangu,
Pendelea kuwabeba wanaume ambao angalau hata ukipata pancha wanaweza kukusaidia kupiga jeki na kufungua tairi,
Mademu ukipata pancha anashuka na kuomba lift ingine na kukuacha na mkweche wako bila msaada!!

Hilo nalo nenno
 
ushasema ni mademu ndo wenye tabia hiyo sasa acha kubeba mademu na ubebe wadada/ladies. then hapo utaona tofauti.

Hapo umemaanisha nini sasa kama unajifunga na na hiyo comment mwenyewe
 
Idd, kwanza uandishi wako unaghafilisha akili kabisa
pili, unabeba kambi za fisi unakuja tuchosha hapa
tatu, you were imagining kwamba anasita kushuka labda kiti chako kilikuwa na sindano
 
Back
Top Bottom