Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Na yote hayo, wazee wa kazi wa Taliban wanawahenyesha na AK 47 zilizokuwa modified uwani. Kwi kwi kwi, teh teh teh!
Kwani unaongelea vita ya aina gani?? Maana kuna vita za aina nyingi..,Vita si madege bali ni mbinu tu. Hasa kujitoa mhanga kunawa,maliza nguvu!
Kwani unaongelea vita ya aina gani?? Maana kuna vita za aina nyingi..,Vita si madege bali ni mbinu tu. Hasa kujitoa mhanga kunawa,maliza nguvu!
Kwani unaongelea vita ya aina gani?? Maana kuna vita za aina nyingi..,
Kwa mfano, ipigwe total war kati ya afganistan na marekani, unadhani wamarekani wangechukua miezi mingap kusambaratisha kila kitu? isingezidi mitatu..., ila mambo ya kuijenga afghanistan ndo yana-cost american lives...,
sijui kichwa yako ikoje-kama kitu huji ni bora ukae kimyaPamoja na madege yote hayo, lakini anaendelea kupigwa huko Afghanistan.Madege na masilaha ya ajabu sio uwezowa kivita. vita ni zaidi ya silaha.
sijui kichwa yako ikoje-kama kitu huji ni bora ukae kimya
Bora kupenda blindly kuliko kuchukia blindly coz anaechukia blindly mwisho wake ni kujilipua.Usipende blindly kijana au wewe upeo wako ndiyo mdogo. Licha ya kupigana kwa miaka kumi Wamarekani walipigwa Vietnam na silaha duni zaidi ya AK47 na wakaishia kukimbia kwa aibu. Hawana teknik za kupigana ardhini.
Walibaki kutengeneza film za akina Chuck Norris na Rambo kujizimua kutokana na aibu ile.