Madan Kadyrov: Atakayemkabidhisha Askari wa Ukraine alieivunjia heshima Qur-an kuzawadiwa $168,000

Rudia kusoma....kwa ufafanuzi .

Yesu alikuwa anawaelezea wafuasi wake kuhusu wanaume wanaokosa nguvu za kiume (chanzo)...

Akawaeleza kuwa "Wengine huzaliwa na mapungufu hayo na wengine huyapata kwenye mihangaiko ya kila siku"....

Kumbuka mapungufu ya nguvu za kiume ni tofauti na ushoga.....Rejea Biblia ikufahamishe

Biblia gani hii ?
 
Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000

Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble milioni 10 za Kirusi ambazo ni sawa na dola 168,000 za Kimarekani kwa atakayefanikisha kukamatwa akiwa hai, askari wa jeshi la Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuichoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu.

Tovuti ya kituo cha habari cha Russia-Lyaum imeripoti kuwa, Kadyrov ametenga pia ruble milioni tano kwa mtu atakayeweza kuukabidhi mwili wa mwanajeshi huyo aliyeivunjia heshima Qur'ani tukufu.

Rais wa Chechnya ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa telegram: "sitatosheka na kulaani tu kitendo cha askari wa Ukraine, ambao hivi karibuni walizichoma moto kurasa za Qur'ani."

Kadyrov ameongezea kwa kusema:

"Mukiona kwenye ukurasa wangu wa telegram taswira za kitendo hiki kiovu, mujue kwamba, ninatangaza zawadi yenye thamani ya ruble milioni tano kwa ajili ya kuwaangamiza watu hawa; na mara mbili yake kwa kuwakamata wakiwa hai. Na tuzo hii ya fedha itabaki kama ilivyo bila kujali kama takwa hili litafanikishwa leo, kesho au hata mwaka ujao".

Rais Madan Kadyrov wa Chechnya amemhutubu mwanajeshi huyo wa Ukraine kuwa ni mtu mwoga na kumwambia: "ewe uliyefunika uso wako kwa woga na hofu, fahamu kwamba popote utapokuwa umejificha utaadhibiwa tu; na nafsi yako iliyojaa woga katu haitapata amani na utulivu".

Wanajeshi kadhaa wa jeshi la Ukraine wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamefanya kitendo kiovu na cha kifidhuli kwa kusambaza kwenye mitandao ya kijamii video inayowaonyesha wakirarua na kuzichoma moto kurasa za nakala ya Qu'rani tukufu.

Wakati wakifanya kitendo hicho kiovu, askari hao wa jeshi la Ukraine wanaonekana pia wakitoa maneno ya matusi kuhusiana na Qur'ani, huku mmoja wao akisaga na kumimina shahamu ya nguruwe kwenye nakala hiyo ya Qur'ani Tukufu.
View attachment 2558018
Hivi huyo naye ni Rais 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu wa kweli hatumi mtu kumlipizia kisasi labda kama ni miungu hapo nitakubali.
Huyo mungu wa kweli Kwa nini asishuke kuja kujenga nyumba zake na kuchapa vitabu vyake vitakatifu,badala yake anawategemea binaadam kumfanyia!?
 
Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000

Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble milioni 10 za Kirusi ambazo ni sawa na dola 168,000 za Kimarekani kwa atakayefanikisha kukamatwa akiwa hai, askari wa jeshi la Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuichoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu.

Tovuti ya kituo cha habari cha Russia-Lyaum imeripoti kuwa, Kadyrov ametenga pia ruble milioni tano kwa mtu atakayeweza kuukabidhi mwili wa mwanajeshi huyo aliyeivunjia heshima Qur'ani tukufu.

Rais wa Chechnya ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa telegram: "sitatosheka na kulaani tu kitendo cha askari wa Ukraine, ambao hivi karibuni walizichoma moto kurasa za Qur'ani."

Kadyrov ameongezea kwa kusema:

"Mukiona kwenye ukurasa wangu wa telegram taswira za kitendo hiki kiovu, mujue kwamba, ninatangaza zawadi yenye thamani ya ruble milioni tano kwa ajili ya kuwaangamiza watu hawa; na mara mbili yake kwa kuwakamata wakiwa hai. Na tuzo hii ya fedha itabaki kama ilivyo bila kujali kama takwa hili litafanikishwa leo, kesho au hata mwaka ujao".

Rais Madan Kadyrov wa Chechnya amemhutubu mwanajeshi huyo wa Ukraine kuwa ni mtu mwoga na kumwambia: "ewe uliyefunika uso wako kwa woga na hofu, fahamu kwamba popote utapokuwa umejificha utaadhibiwa tu; na nafsi yako iliyojaa woga katu haitapata amani na utulivu".

Wanajeshi kadhaa wa jeshi la Ukraine wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamefanya kitendo kiovu na cha kifidhuli kwa kusambaza kwenye mitandao ya kijamii video inayowaonyesha wakirarua na kuzichoma moto kurasa za nakala ya Qu'rani tukufu.

Wakati wakifanya kitendo hicho kiovu, askari hao wa jeshi la Ukraine wanaonekana pia wakitoa maneno ya matusi kuhusiana na Qur'ani, huku mmoja wao akisaga na kumimina shahamu ya nguruwe kwenye nakala hiyo ya Qur'ani Tukufu.
View attachment 2558018
Kwani yeye ndiye Allah au anatafuta kiki? Hii kazi muachie mwenye Subhanna amuadhibu mhusika badala ya kujitia uungu.
 
Yani nakuuliza unamfahamu pedophile Muhammad majibu ndio ayo apo juu 😂🤣🤣

MIZANI YA IMANI YA MKRISTO

Bwana Yesu Kristo alieleza mizani na alama za imani kama ifuatavyo:

1. Mkiwa na imani ya punje ya haridali, mtauambia mlima huu, ondoka hapa nenda kule, nao utaondoka; wala halitakuwapo neno lisilowezekana kwenu. (Mathayo17:20; 21:21; Marko 11:22-23, 9:23, Luka 17:6, 12, 13).

2. Bwana akasema: “Kama mngekua na imani kiasi cha chembe ya haridali mngeuambia mkuyu huu, ng'oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.” (Luka 17:7).

3. Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia mkiwa na imani , msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, ngo'ka ukatupwe baharini, litatendeka. na yoyote mtakayoyaomba katika sala mkiamini, mtapokea. (Mathayo 21:21-22)

4. Amin, Amin, nawaambieni, yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwani mimi naenda kwa Baba. (Yohana 14:12-13).

5. Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lolote nanyi mtatendewa. (Yohana 15:7).

6. Tena nawaambia, wawili wenu mtakapopatana duniani katika jambo lolote watakalo liomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. (Mathayo 7:3-12)

7. Ombeni nanyi mtapewa.... (Mathayo 7:3-12).

Katika mizani hii ya imani ya Wakristo, tumejua kwamba Mkristo atatambulika kwa alama zilizotajwa hapo juu.

Tena hizi ni alama za imani ndogo sana ya chembe ya haridali. Lakini kama Mkristo atakuwa na imani kubwa ataweza kuonesha miujiza mikubwa zaidi. Vilevile Mkristo mwenye imani ni yule ambaye ataweza kuonesha miujiza na hasa sawa na ya Bwana Yesu bali mikubwa zaidi kuliko yake. Sasa kwanza tutafute miujiza ya Bwana Yesu katika Biblia, tumeona baadhi yao kama ifuatavyo:

1. Kuponya wagonjwa (Mathayo 8:16, 9:22, na 15:21).

2. Kuponya walemavu (Mathayo 8:1-3).

3. Kuponya mabubu. (Mathayo 9:3-7; 12-22).

4. Kuponya mwenye kupooza upande mmoja (kiarusi) (Mathayo 8:5-13. 9:1-7, 12:22).

5. Kumponya mwenye kifafa. (Mathayo 17:14-19).

6. Kuponya mkono wenye ukoma. (Mathayo 12:15).

7. Kuponya mgongo uliopinda (Kibyongo) (Luka 13:10).

8. Kuwafufua wafu. (Mathayo 9:24).

9. Kugeuza maji kuwa pombe. (Yohana 2:1-9).

10. Chakula kidogo kitoshe watu elfu tano. (Mathayo 14:13-21).

11. Kutembea juu ya maji. (Mathayo 14:22-23).

12. Kuzuia tufani . ( Mathayo 8:23-33).

Hapa nimetoa baadhi ya mifano tu ya miujiza ya Bwana Yesu.
Kama Mkristo huwezi kuonesha miujiza ya aina hii au alama ya imani yao sawa na Biblia, basi mambo mawili yanathibitika.

A. Bwana Yesu pia hakuonesha mujiza wowote bali ni hadithi za kutungwa tu zisizo na ukweli ndani yake.

B. Siku hizi Mkristo yeyote hana imani sawa na chembe ya haridali, bali wote wameshapotea tayari na hawana alama au dalili yoyote ya imani.

Hali hizi zote mbili ni mbaya sana na za kutisha.

Na dawa yake ni moja tu kwamba muingie katika dini ya Mwenyezi Mungu, ISLAM, baada ya kutambua umoja wa Mungu na Mtume Muhammad s.a.w. kinyume chake mtaendelea kufedheheka siku hadi siku.

TAMBIO:

Ninawapa Wakristo tambio (challenge) kwamba kama mnayo imani sawa na chembe ya haridali, mtuoneshe miujiza iliyotajwa hapo juu.

Mkristo mmoja au wawili au mjumuike wote, tunataka kuona miujiza tu ya imani yao, hata Pope au Mchungaji yeyote ajitokeze.
 
Back
Top Bottom