Madan Kadyrov: Atakayemkabidhisha Askari wa Ukraine alieivunjia heshima Qur-an kuzawadiwa $168,000

Mbona huyo Mungu wa Ibrahimu na Isaka na Yakobo hakuruhusu watu waachwe tu wakilikufuru jina lake ??

Leviticus 24:15–16


BY THE WAY HUYO MUNGU PIA NI MUNGU WA BWANA YESU
John 20
17 Jesus said, “Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers and tell them, ‘I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.’”
Knowing the (Biblical) times and seasons is a difficult thing for many people.
 
Inaonekana hiyo video hujaiona yani ni wanajeshi tena wako front line wakiwa kwenye mahandaki wanakata mikate na kufanya Qur'an ndio meza ya kukatia mikate yao

Hao jamaa kwenye hii vita kuna udini wanajaribu kuuingiza.
Wameona wanaotumia hicho kitabu ndio wanaomsaidia Putin kwa karibu kwenye hii vita, next time wanaweza kukiwasha moto.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Aliniambia rafiki yangu wa Manzese, nanukuu "Quran haifanani na likitabu lenu la Biblia, ukichukua hata kipande kidogo cha Quran ukakichoma moto, lazima utachanganyikiwa na kuwa chizi" sasa, huyo askari wa Ukraine si wamwache tu atakuwa chizi soon au?. Nampenda Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo maana yeye hapiganiwi bali yeye huwapigania watu wake na majeuri huwanyoosha mwenyewe.
Hata ukichoma yote hakuna chochote kitatokea, hata chafya hutapiga. Ni kudanganya watu tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20230320_082807.jpg
    Screenshot_20230320_082807.jpg
    119.9 KB · Views: 3
Kitakatifu kinalindwa na kupiganiwa na binadamu mwenye dhambi,kiumbe anayesifiwa wakati wowote kubadilika?!

Mimi nadhani kwenye uwasilishaji kuhusu mambo kama haya ya dini ikitokea lengo ni kuzungumza mazuri kuhusu kitu husika neno "Kitakatifu/Tukufu" liwekwe lakini ikiwa ni kwa shari kama hivi iandikwe tu "kitabu fulani" kama vitabu vingine maana hii inatatanisha kidogo pale mtu kutaka kitu kikubwa kama "utukufu" kuingizwa ktk shari madai Mungu anahusika.

NB;Siyo kwa ubaya nimeshauri tu msinielewe vibaya.
 
Back
Top Bottom